Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

696 results for Rehema Matowo :

  1. Jela miaka minne kwa kumjeruhi mama yake mdogo

    Geita. Mahakama ya Wilaya ya Chato imemuhukumu kifungo cha miaka minne na kulipa faini ya Sh3 milioni, Faida Enock mkazi wa Bwanga, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumjeruhi Monica Laurent...

  2. GGML kukusanya Sh2.6 bilioni mapambano dhidi ya VVU

    Licha ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kuonekana kupungua kwa watu wazima, juhudi za makusudi za kutoa elimu kwa vijana wenye wa miaka kati ya 15-24 zinahitajika ili kuiwezesha nchi...

  3. Aliyedaiwa kumuua shangazi yake kwa imani za kishirikina ahukumiwa kunyongwa

    Geita. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Peter Lameck (27) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua shangazi yake, Isanziye Mwinula (67) akimtuhumu kuwaua wazazi...

    New Content Item (4)
  4. Mahakama Kuu Geita kuendelea kusikiliza kesi leo, ikiwemo ya mauaji ya Masumbuko

    Geita. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Geita inaendelea kusikiliza kesi za mauaji na leo upande wa mashtaka katika kesi inayomkabili Zephania Ndalawa, anayeshtakiwa kwa kosa la kumuua mtoto...

  5. PRIME Shahidi amtambua jaji kama mtuhumiwa wa mauaji

    Katika hali isiyotarajiwa, shahidi wa tatu kwenye kesi inayomkabili Zephania Ndalawa anayeshtakiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia, amemtambua Jaji Graffin Mwakapeje kama mtuhumiwa wa mauaji ya...

  6. KESI YA MAUAJI: Daktari aeleza mtoto Masumbuko alivyofariki kwa kukosa hewa

    Shahidi wa sita katika shauri la mauaji linalomkabili Zephania Ndalawa, anayeshtakiwa kwa kumuua kwa kukusudia Thomas Masumbuko, ameieleza Mahakama namna alivyokuta mwili wa marehemu ukiwa na...

  7. Mahakama yapokea vielelezo vinne kesi mauaji ya Masumbuko

    Geita. Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Geita, imepokea vielelezo vinne vilivyotolewa na upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji inayomkabili Zephania Ndalawa anayeshtakiwa kwa kosa la kumuua...

  8. Kesi za mauaji kuendelea kuunguruma Geita leo

    Katika kesi hiyo ambayo iko chini ya Jaji Mfawidhi, Kevin Mhina, mshtakiwa mmoja aliachiwa huru baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha makosa yake huku washtakiwa wanne wakisubiri...

  9. PRIME Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua mwanawe

    Mahakama Kuu kanda ya Geita imemuachia huru Stephano Mlenda (31) Mkazi wa Chigunga Wilaya ya Geita, aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la kumuua mtoto wake wa miaka tisa kwa kutokusudia.

  10. Washtakiwa mauaji ya Milembe wajitetea, waomba kuachiwa huru

    Geita. Washtakiwa wanne wanaodaiwa kumuua Milembe Suleman (43) kwa kumkata na kitu chenye ncha kali, wamejitetea wakieleza kutohusika na tukio hilo, wakiiomba mahakama iwaachie...

Previous

Page 16 of 70

Next