PRIME Mapya yaibuka mikutano ya Chadema, CCM Vyama hivyo vimeendelea na ziara zao katika mikoa mbalimbali, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira anaendelea na ziara zake mkoani Ruvuma wakati Makamu Mwenyekiti wa Chadema – Bara, John...
PRIME CCM, Chadema, Chaumma ni mwendo wa kufuta nyayo Vyama hivyo vya Chaumma, Chadema na CCM, vinaendelea za ziara zao zenye malengo tofauti kwa kukutana na wananchi, kuzungumza nao na kueleza ajenda zao wakati Taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu...
Wasira awapiga kijembe wanaotaka uchaguzi uahirishwe Wasira amesema tayari CCM imeshajipanga kwa uchaguzi mkuu kwa kuwateua wawakilishi wa nafasi ya urais na makamu wa Rais ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na Dk Emmanuel Nchimbi.
Serikali yatia neno matumizi ya akili mnemba sekta ya fedha Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Vihatarishi na Utekelezaji kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Anethe Magogo amesema hafla hiyo inasaidia kuanzisha njia ya ujumuishaji wa akili mnemba katika...
PRIME Watetezi Kanisa la Gwajima waongezeka Chanzo cha kadhia hiyo ni hatua Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa kutangaza kulifuta kanisa hilo, kile alichoeleza limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 “kwa kutoa mahubiri yenye...
Kwa siku 10 kuanzia leo, hali ya hewa itakuwa hivi Kutakuwa na vipindi vya mvua zinazoambatana na ngurumo za radi katika baadhi ya maeneo.
Msimamo wa Serikali kwa wakazi wa Mbopo Sababu ya wananchi hao kugoma kulipia ni madai kuwa eneo wanaloishi sasa, pamoja na kwamba DDC inadai ni lao, tayari wananchi wameliendeleza tangu likiwa pori na hawakuwahi kumuona mamlaka yoyote...
PRIME Maumivu wanayopitia watumiaji mabasi ya Mwendokasi Bado ni majanga. Unaweza kusema kwa uhakika kwamba unafuu uliotarajiwa na wakati wa Jiji la Dar es Salaam katika usafiri ya Mabasi Yaendayo Haraka haujapatikana.
Balozi Shio agusia suala la amani Afrika Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Innocent Shio amesema licha ya changamoto ya vitisho vya ugaidi na ukosefu wa utulivu katika baadhi ya nchi za Afrika, juhudi zinaendelea kufanyika kuhakikisha...
ACT-Wazalendo: Serikali iongeze mabasi ya mwendokasi njia ya Kimara Awali, kiongozi huyo alikamatwa na askari wa Polisi katika kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Kimara, na kupelekwa Kituo cha Polisi Mbezi Magufuli, ambapo alizuiliwa kwa muda kabla ya kuachiwa...