Mwanafunzi kidato cha kwanza ajiua baada ya kuhojiwa na wazazi wake
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Mpakani, Ufunuo Mwamlima (13), mkazi wa Tunduma mkoani Songwe, amejiua kwa kujichoma kisu tumboni baada ya wazazi wake kumhoji kuhusu...