Search

112 results for Dk Levy :

  1. Khaligraph angejibiwa na mstari mmoja wa Solo Thang

    Siyo yeye tu! Ulimsikia Ommy Dimpoz baada ya kifo cha Ngwair? Alisema wasanii hawapaswi kufa maskini. Wachache sana walimuelewa baada ya kauli hiyo. Alimtazama vibaya. Vidole alinyooshewa kama...

  2. FA vua suti, tupe 'rimiksi' ya mabinti kitaani hatuelewi

    Hasara! Ndiyo, ya pesa ya kinywaji kilichotoweka kichwani. Baada ya kusikia maneno ya kuumizana ya kibwege kutoka kwa bwege mmoja hivi.

  3. Sugu kutoka yo! rap hadi ‘Bongoflava library museum in Dar’

    Kama utani hivi ikaanza Summer Jam. Bongofleva ikiwa chini ya wahuni tu. Ilikuwa ngumu sana asiyerap (michano) kupokelewa kwa nguvu na mashabiki. Mashabiki walitaka wachanaji tu.

  4. Kabla ya Wema na Uwoya, hebu jitazame…

    Kitaa ndoa nyingi zina migogoro kwa ‘ishu’ za kukurupuka. Kufanya papara bila kufahamiana vizuri. Kuna vitu vya msingi watu tunapaswa kufanya lakini tunavipuuza. Ujuaji mwingi na kuishi kimazoea...

  5. Paula kumbuka hata wahuni wanazeeka

    Yes mtoto wa P Funk. Yes mtoto wa Kajala Masanja. Viumbe wawili wenye mizuka ya sanaa. Mmoja mchizi muziki mwingine mchizi filamu ingawa siyo kiviiile. Ni kama Kanumba aliamua tu. Kwa pamoja...

  6. Jaymoe siyo wa kupewa maua, anahitaji heshima

    Makumbusho na Kijitonyama. Zikawa maarufu zaidi ya Mikocheni na Mbezi. Ikawa ujanja kupiga misele au kuishi kipande hicho. Makumbusho ikawa juu kama 'Malibu' ya Bongo hivi.

  7. Ndani ya Boksi: Mnara wa Babeli, chanzo cha lugha nyingi duniani

    Ikapita miaka mingi. Wana wa Nuhu nao wakazaa watoto wengi sana. Watoto wao walikua na kuzaa watoto wengi zaidi. Na hapo ndipo kukawa na watu wengi zaidi duniani.

  8. Ndani ya boksi: Wasanii na jamii tupo 'Fildi' moja na shetani

    Je, unaifahamu stori ya wimbo unaoitwa Gloomy Sunday? Uliosababisha vifo vya watu zaidi 100? Rezso Seress, aliandika mashairi ya wimbo huo, baada ya kupigwa chini na mpenzi wake. Kisha kugeuka...

  9. Ndani ya boksi: Uwoya na mkopo wa 'Sevisi' ya ndinga zake

    Miaka kadhaa nyuma. Tuliambiwa jimbo la Calfornia, lilikuwa tajiri zaidi kwa Marekani. Uchumi wake ulikuwa sawa na wa Taifa la Ufaransa na mara tisa zaidi ya uchumi wa bara zima la Afrika. Unajua...

  10. Ndani ya boksi: Wa 'Mondi nijibu nivimbe kitaa' Wanavyotengwa

    Bob naye aliwachana ‘masela lawama’ hao. Kwamba tunatafuta pesa ili tuhame huko. Sasa kama tunazisaka na kuzipata kisha tuendelee kulikita huko uswekeni. Basi hakuna haja ya kuzisaka. Yu noo?

Previous

Page 3 of 12

Next