Mwalimu jela miaka 30, viboko vinne kwa kubaka mwanafunzi Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, Mwalimu wa Shule ya Msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe, Juma...
Mnzava: Shughuli za kibinadamu zinaathiri upatikanaji wa maji Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa, Godfrey Mnzava amekemea tabia ya baadhi ya wananchi kufanya shughuli za kijamii kwenye vyanzo vya maji, kwani huviathiri.
Hali tete shule kongwe wilayani Rungwe Madiwani wataka ukarabati. Serikali yasema kuna mradi wa kushughulikia kadhia hiyo.
Dereva wa New Force matatani kwa kuendesha mwendo kasi Alikuwa akiendesha kwa mwendokasi wa zaidi ya kilomita 100 kwa saa na kukiuka sheria za usalama barabarani.
Taa za kuongoza magari Tanzam zazima siku tatu Baadhi ya madereva waliozungumza na Mwananchi Digital leo Jumanne, Agosti 20, 2024, wamesema tatizo kuzimika taa za kuongoza magari sio la mara ya kwanza, bali limekuwa likijirudia
Polisi, Bavicha ‘ngoma bado mbichi’ kongamano Mbeya Magari 20 aina ya Coaster yaliyobeba vijana wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), yanadaiwa kuzuiliwa na Jeshi la Polisi kwenda mkoani Mbeya kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani.
Waathirika maporomoko ya tope Mlima Kawetere wakataa eneo walilotengewa Mbeya. Waathirika 16 wa maporomoko ya tope katika Mlima Kawetele, Kata ya Itezi, jijini Mbeya wamegomea kujenga makazi kwenye viwanja walivyopewa na halmashauri. Wamesema sababu ni kuwa maeneo...
Sakata la kijana aliyechoma picha ya Rais kutoweka lawaibua Polisi Kijana Shadrack Chaula ametoweka siku kadhaa baada ya kukiri kuchoma picha ya Rais Samia Suluhu Hassan na kutolewa gerezani kwa michango ya wananchi.
Upungufu wa maji wamtia hofu Dk Tulia atoa tahadhari msimu huu wa kiangazi Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametoa tahadhari juu ya upungufu wa maji unaotarajiwa msimu wa kiangazi na ameiagiza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Mbeya (Mbeya-Uwsa), kutoa...
Baba mzazi wa aliyechoma picha ya Rais amtaka mwanawe akiwa hai au mfu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo la madai ya kutekwa Shadrack Chaula.