Watatu wauawa Tabora kwa tuhuma za mauaji Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za kumuua kisha kumkata sehemu za siri pamoja na titi, Sagali Masanja (62), tukio lililotokea Novemba 14, 2024...
Ubunifu nishati mbadala suluhu utunzaji mazingira Mwaka 2018, Kampuni ya Kuja na Kushoka, inayomilikiwa na Kushoka iliibuka mshindi wa kwanza kitaifa kwenye mashindano ya ubunifu wa mkaa mbadala yaliyoratibiwa na Wizara ya Muungano na Mazingira.
Mtoto mchanga afariki dunia ajali iliyoua 14 Tabora Siku moja baada ya gari dogo la abiria aina ya Hiace kuligonga kwa nyuma lori katika barabara ya Itobo – Bukene, majeruhi mmoja kati ya saba waliokuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya...
Yanga yaipa Tabora United Sh20 milioni Bosi huyo wa mkoa amesema timu ikiwasili fedha hizo atazikabidhi kwa wachezaji kama motisha kwao kwa ushindi walioupata.
Ajali ya ‘kipanya’ yaua 14 Tabora, tisa wajeruhiwa Jeshi la Polisi linaendelea kumsaka dereva wa Toyota Hiace ambaye alikimbia baada ya kutokea ajali.
Wadakwa wakidaiwa kuhujumu miundombinu ya Tanesco Polisi katika Kijiji cha Nindo, Wilaya ya Nzega, Mkoa wa Tabora, wakishirikiana na maofisa wa Tanesco na wananchi, limefanikiwa kumkamata mtu mmoja kwa tuhuma za wizi wa waya za Copper earthwire...
Vigogo Simba, Yanga watimkia Singida Black Stars Vigogo waliowahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye timu za Simba na Yanga kwa nyakati tofauti wametangazwa na Singida Black Stars kushika nyadhifa mbalimbali kwenye klabu hiyo.
VIDEO: RC Chacha apiga marufuku uuzaji majeneza nje ya hospitali Chacha amesema kuna baadhi ya wagonjwa wanaweza kukata tamaa na kuingiwa na hofu baada tu ya kuona jeneza mbele yake.
Lori la chuo cha Mweka laua wanafunzi wawili Kamanda Abwao amesema lori hilo lilikuwa linawapeleka wanafunzi kwenye mafunzo kwa vitendo Inyonga mkoani Katavi.
Sanamu ya Nyerere lililobomolewa Tabora laanza kujengwa upya Siku chache baada ya watu wasiofahamika kuvamia na kuvunja sanamu la Mwalimu Julius Nyerere katika Manispaa ya Tabora, mkuu wa mkoa huo, Paul Chacha amesema Serikali imeanza ujenzi la sanamu hilo...