Mikoa inayopakana na nchi jirani kuanza kutoa chanjo ya Polio Zaidi ya watoto 402,000 wa mkoa wa Songwe wanatarajiwa kupata chanjo ya polio katika zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 hadi Septemba 24 mwaka huu.
Wakulima wapigwa butwaa bei ya mahindi kushuka ghafla Bei ya mahindi katika masoko mbalimbali katika Mkoa wa Songwe imeporomoka katika kipindi cha mwezi mmoja ikilinganisha na bei zilizokuwepo mwezi Juni na Julai mwaka huu.
DC Songwe asimamisha shughuli za uchimbaji madini Mkuu wa Wilaya ya Songwe mkoani hapa, Solomon Itunda amesimamisha shughuli za uchimbaji madini katika Kata ya Saza kwa muda wa siku saba, ili kupisha uchunguzi wa kina kufuatia mgogoro kati ya...
Waamini Katoliki wataka mjadala wa wazi mkataba wa bandari Waumini wa Kanisa Katoliki nchini wameunga mkono tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), huku wakisema kuna haja ya kuwapo kwa mjadala wa wazi utakaojadili Mkataba wa makubaliano ya...
Bwawa la kuvuna maji ya mvua lakamilika Bwawa la kuvuna maji ya mvua kisha kusambazwa katika vijiji vinne vilivyoko Kata ya Ndalambo, wilayani Momba, Mkoa wa Songwe, limezinduliwa na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, huku ikitarajiwa...
Aweso aamuru wasaidizi wake wabaki Songwe Aidha amesema wizara yake imefanya kazi kubwa ya kuweka miundombinu ya maji wilayani humo ambapo kati ya vijiji 43 vilivyopo, vijiji 41 tayari vimewekewa miundombinu hiyo.
Mafuta yaadimika Mbozi, Ewura yaonya Wananchi wilayani Mbozi, Mkoa wa Songwe, wamelazimika kutembea mwendo mrefu baada ya baadhi ya madereva wa vyombo vya usafiri wa umma kusitisha huduma hiyo, kufuatia uhaba wa mafuta ya petrol na...
Miili sita yatambuliwa ajali Momba, majeruhi 10 waruhusiwa Miili sita kati ya saba ya watu waliofariki jana Jumatano Julai 5, 2023 katika ajali ya Lori kuwagonga watu waliokuwa wakijaribu kumuokoa dereva bodaboda aliyegongwa na gari dogo (IT)...
Idadi ya watu waliofariki katika ajali Momba, yaongezeka Idadi ya watu waliofariki dunia katika ajali ya Tunduma imeongezeka na kufikia saba, huku wengine 14 wakijeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori, daladala aina ya Hiace, pikipiki za matairi...
Mwanafunzi kidato cha tatu Mbozi adaiwa kujinyonga kisa kuikataa shule Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga.