Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

247 results for William Shao :

  1. Mchakato kumpata Rais wa Marekani upo hivi..

    Donald Trump amewahutubia wafuasi wake na kuwaeleza kuwa ameshida dhidi ya Kamala Harris katika uchaguzi wa rais wa Marekani, huku kura zikiendelea kuhesabiwa katika baadhi ya majimbo yaliyosalia.

  2. Kivumbi Marekani, wagombea wakabana koo uchaguzi ukikaribia

    Uchaguzi wa Rais wa Marekani unatarajiwa kufanyika Novemba 5, 2024, Zikiwa zimesalia wiki chache tu, kinyang'anyiro kati ya wagombea wawili wakuu, Kamala Harris wa Chama cha Democratic na Donald...

  3. Siri historia ya Nyerere na gari la Land Rover

    Dar es Salaam. Mwalimu Julius Nyerere, kiongozi wa harakati za ukombozi wa Tanganyika na Rais wa kwanza wa taifa hilo, alikuwa na uhusiano wa kipekee na gari aina ya Land Rover. Historia ya...

  4. Masisi kutetea kiti chake uchaguzi mkuu Botswana

    Uchaguzi mkuu wa Botswana umefanyika Jumatano Oktoba 30, 2024 ambapo wananchi walipiga kura kuamua muundo wa Bunge la 13 la nchi hiyo pamoja na mabaraza ya mitaa kote nchini humo.

  5. P Diddy na kashfa ya kusikitisha

    Kashfa hii inayomhusisha Sean Combs, anayejulikana zaidi kama P Diddy, imezua utata kuchochea mijadala kwenye majukwaa ya habari.

  6. Nani kuibuka na ushindi uchaguzi wa Rais Marekani?

    Wapigakura nchini Marekani wataenda kupiga kura Novemba 5, mwaka huu, kumchagua Rais wao anayefuata

  7. Nguvu ya Toyota, Benz, Ford, Honda kwenye soko la magari duniani

    Magari ni mojawapo ya uvumbuzi mkubwa zaidi ambao umebadilisha kabisa maisha ya binadamu kwa namna nyingi.

  8. Mbivu, mbichi uchaguzi mkuu wa kwanza Sudan Kusini Desemba 22

    Jumapili ya Desemba 22, mwaka huu, Sudan Kusini inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza tangu nchi hiyo ilipopata uhuru wake mwaka 2011.

  9. Siri ya ubilionea wa matajiri wakubwa duniani

    Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa duniani kuna mabilionea wa Dola za Marekani (wenye ukwasi unaozidi Sh2.7 trilioni) takribani 3,200. Kati ya hao, zaidi ya 1,000 wanatokea Amerika ya Kaskazini...

  10. Dangote katika changamoto ya kiuwekezaji nchini mwake

    Takribani wiki mbili zilizopita, kwenye mahojiano na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), tajiri mkubwa barani Afrika, Aliko Dangote, alikaribia kulia akizungumzia hali ngumu ya kibiashara...

Previous

Page 3 of 25

Next