Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Kaya zaidi ya 700 Muheza zaunganishwa na majiko banifu

    Zaidi ya kaya 700 ikiwemo maeneo ya biashara katika Kijiji cha Mlesa kilichopo Wilaya ya Muheza mkoani Tanga zimeunganishwa na teknolojia ya matumizi ya majiko banifu.

  2. Mkenda: Hakuna mtoto atakayekosa nafasi sekondari 2027

    Ameeleza kuwa Serikali pia itaingia makubaliano na shule binafsi za sekondari kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa Serikali kwa masharti nafuu ya ada.

  3. Mfanyabiashara aliyejiua Moshi azikwa, Kanisa Katoliki likieleza sababu za kumzika

    Wakati mamia ya waombolezaji wakishiriki maziko ya mfanyabiashara aliyejiua kwa kujinyonga mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Malisa (35), Kanisa Katoliki limeeleza sababu za kumzika licha...

  4. Mamia ya waombolezaji wafurika kwenye mazishi ya mfanyabiashara aliyejiua Moshi

    Mamia ya waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya Mkoa wa Kilimanjaro wamefurika kwenye mazishi ya mfanyabiashara maarufu mjini Moshi na Dodoma, Ronald Malisa (35) aliyejiua kwa...

  5. Mfanyabiashara aliyejinyonga kuzikwa kesho Moshi

    Lucy Malisa amesema kaka yake atazikwa kesho nyumbani kwake eneo Msufuni, Msaranga.

  6. Daktari bingwa wa watoto Kibosho adaiwa kujiua

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo akisema chanzo ni msongo wa mawazo uliotokana na afya ya akili.

  7. Askofu Mono: Mchakato wa katiba mpya uanze, ukamilike kwa wakati

    Amesisitiza kuwa msingi wa uongozi bora huanzia kwenye kumcha Mungu na kushikilia maadili ya kijamii na kiutamaduni.

  8. Askofu Malasusa: Dk Mono uwe Yusufu wa Mwanga

    Dk Mono alichaguliwa Machi 10, 2025 katika mkutano mkuu maalumu, baada ya askofu aliyekuwepo Chediel Sendoro kufariki kwa ajali, Septemba 9, 2024 iliyotokea katika eneo la Kisangiro, Wilaya ya...

  9. Profesa Mkenda: Somo la ujasiriamali sasa ni lazima sekondari

    Amesema mageuzi hayo yanalenga kuwapa vijana ujuzi wa moja kwa moja na kwamba Serikali imeendelea kufanya tathmini na kupanua miundombinu ya elimu ili kuhakikisha upatikanaji wa elimu hiyo...

  10. Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, Dodoma ajiua kwa kujinyonga

    Mfanyabiashara maarufu katika mji wa Moshi na mkoani Dodoma, Ronald Malisa (35), anadaiwa kujiua kwa kujinyonga kwa kutumia shuka katika choo cha nyumba yake, eneo la Msufuni, Kata ya Msaranga...

Previous

Page 27 of 144

Next