Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

69 results for Aisha Charles :

  1. Sababu tano zilizoipa Simba ubingwa WPL

    Msimu wa 2023/2024 kwa wanawake ulimalizika juzi wakati ambapo Simba Queens ilifanikiwa kutwaa ubingwa bila kupoteza mchezo wowote.

  2. Mwaisa: nilitaka pesa, umaarufu ulijileta wenyewe

    Wakati baadhi ya vijana wakisubiri kuajiriwa, mchekeshaji Hakika Nyonyoma Mwapongo maarufu kama 'Mwaisa Mtumbad' anasema anaamini kwenye kujiajiri na siyo kuajiriwa.

  3. Dr. Almasi alivyojifananisha na Snoop Dogg

    Kuzeeka ni mpango wa Mungu ila kuchoka ni kujitakia kauli hii ameitoa Mwigizaji Steven Charles Almasi maarufu kama Dr. Alsmasi baada kuzungumza na Mwananchi Scoop na kufunguka mengi.

  4. Isarito afichua chimbo wanalotokea waigizaji wakali

    Church boy anayekimbiza kwenye Bongo Movie, hivi ndivyo tunaweza kumuita mwigizaji Isarito Mwakalindile ambaye safari yake kwenye tasnia ya uigizaji ilianzia kanisani katika matamasha ya sikukuu...

  5. Ben Pol: Kufanya shoo nje ya nchi siyo ishu, muziki unataka muda

    Muda huamua hatima ya kila unachofanya kwa kutaka kiwe endelevu au chenye kuishi kati, kauli hiyo anaifafanua mwanamuziki wa Bongo Fleva, Bernard Paul Nyang’anga maarufu kama Ben Pol wakati...

  6. Tabu: Nilirudia darasa mara tisa

    Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa, na hivi ndivyo lafudhi ya Kimakonde ilivyobadili maisha ya Tabu Mtingita mzaliwa wa Mtwara kuwa miongoni wa waigizaji mahiri nchi Tanzania. Tabu ambaye...

  7. Simba Queens yaichapa Yanga Princess

    Simba Queens imeendeleza ubabe wake mbele ya Yanga Princess baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Wanawake uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

  8. Ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa

    Kuhusu tendo la ndoa, Padri Kitima amesema ndoa ni zaidi ya tendo hilo na kama wanandoa watakuwa wanasikilizana hiyo haiwezi kuwa sababu ya kufanyiana ukatili.

  9. Mapya yaibuka uthamini Bonde la Msimbazi

    "Serikali imesema tuliolalamika tutafanyiwa uthamini mpya, lakini katika tangazo ambalo serikali imelotoa la kuanza shughuli hiyo kesho, hatupo,” amesema mkazi huyo.

  10. Jela miaka 10 kwa kumuua bila kukusudia 'house girl' wake

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imemhukumu kifungo cha miaka 10 jela, Mkami Shirima, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua bila kukusudia, aliyekuwa msaidizi wake wa ndani ‘house girl,’ Salome...

Previous

Page 4 of 7

Next