Matarajio ya Watanzania bajeti ya afya ikisomwa leo Katika malalamiko ya NHIF, kumekuwa na mvutano unaokabili uendeshaji wa mfuko huo na sekta binafsi ya afya pamoja na vituo vya umma.
Tanzania kuja na mtandao mmoja wa simu ndani, nje Mawaziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari barani Afrika, wameazimia kuwepo na mtandao mmoja wa laini za simu ili kuwezesha uchumi wa kidijiti kwa nchi za Afrika kukua.
PRIME Sababu ongezeko magonjwa ya mfumo wa upumuaji Yaeleza kuna ongezeko la wagonjwa wanaobainika na Uviko19 na maambukizi ya virusi vingine tofauti vinavyosababisha athari kwenye mfumo wa upumuaji na mafua.
Afrika yajadili mbinu matumizi sahihi ya intaneti kukuza ajira kwa vijana Viongozi hao wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo jinsi gani kupitia intaneti itaiinua zaidi Afrika, lakini pia kuwainua vijana wa bara hilo hasa katika kipindi hiki cha ukosefu wa ajira na kwamba...
Janabi aingia rasmi WHO, aahidi mageuzi ya afya Profesa Mohamed Janabi, ameapishwa rasmi kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, huku akiahidi kuboresha afya za watu wa Afrika.
Utafiti waleta matumaini mapya watoto wenye mahitaji maalumu Utafiti wa awali uliowahusisha watoto 500 kwenye maeneo nane ya mafunzo ya awali chini ya miaka mitano, ulisaidia kusisimua ubongo wao na kufanikisha kurudi katika hali ya kawaida ya ujifunzaji.
Asimulia huduma ya dharura ilivyookoa maisha ya mwanaye aliyechinjwa “Nilikata tamaa. Mwili wa mtoto wangu ulipoteza mawasiliano ya upumuaji kati ya mdomo, pua na koo kushuka chini kwenye kiwiliwili, baada ya kukatwa koromeo lake.”
Mawaziri wa Habari na Teknolojia Afrika kujadili utawala wa mtandao Mawaziri wa Afrika wanaoongoza wizara kwenye masuala ya habari na teknolojia wanatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam, katika kongamano la Jukwaa la Utawala wa Mtandao Afrika (AfIGF)...
Traore asaini makubaliano na Tanzania tiba za moyo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeingia katika ushirikiano rasmi na Burkina Faso kupitia kusaini hati ya makubaliano, lengo likiwa ni kuboresha na kuimarisha huduma maalum za matibabu ya...
PRIME Hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga Wataalamu wa afya za watoto wachanga wametaja hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga, ambazo wanawake wengi hawaijui.