Aliyemwagiwa tindikali aomba msaada wa matibabu nchini India
“Hujafa hujaumbika”. Ni kauli inayofaa kuelezea masaibu yanayomkuta Tariq Kipemba, kijana ambaye amepata majeraha makubwa usoni na sehemu nyingine za mwili baada ya kumwagiwa tindikali akiwa...