Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

89 results for Mbonea Herman :

  1.  Manusura ajali ya meli Nungwi asimulia kilichotokea

    Hatua hiyo iliwapa nafasi mpya ya kuishi baada ya kupitia mateso makubwa yaliyotishia uhai wao kwa muda mrefu.

  2. Mgomo wa daladala Tanga waingia siku ya pili, usafiri bado wateteraka

    Hali ya usafiri wa daladala katika Jiji la Tanga bado haijaimarika kutokana na mgomo unaoendelea.

  3. Mafuriko yaharibu daraja Korogwe barabara kuu Tanga-Arusha

    Mawasiliano katika barabara kuu ya Tanga–Arusha yamekatika kutokana na mvua zilizonyesha kwa saa tisa mfululizo na kusababisha Mto Mbeza kufurika, hali iliyosababisha shughuli za kiuchumi kusimama.

  4. Mkwakwani yang’ara viti 1800 vyafungwa, CCM yasistiza kukamilisha ukarabati

    Zoezi la kufunga viti na ukarabati katika Uwanja wa CCM Mkwakwani limefikia asilimia 40, huku jumla ya viti 4,500 vilivyokuwa vimetelekezwa kwa muda mrefu sasa vikiwa tayari vimefungwa, hatua...

    New Content Item (4)
  5. Wadau wa michezo wajitokeza kuinusuru African Sport kushuka daraja

    Wadau wa klabu ya African Sport ya Tanga wametenga Sh 45 milioni ili kuwezesha timu yao kubaki ligi daraja la kwanza.

    New Content Item (4)
  6. Wanafunzi wasomea chini ya miti, Mkinga

    Baadhi ya wanafunzi katika Shule ya Msingi Churwa iliyopo Kata ya Muhinduro, Tarafa ya Maramba wilayani Mkinga mkoani Tanga, wanalazimika kujifunzia chini ya miti kutokana na uhaba mkubwa wa...

  7. Dampo la Mgandini laondolewa, wafanyabiashara wapata ahueni

    Baada ya miezi kadhaa ya malalamiko ya harufu kali na hofu ya magonjwa ya mlipuko, hatimaye dampo lililokuwa limefurika katika Soko la Mgandini jijini Tanga limeondolewa, hatua iliyorejesha...

  8. Wawili wakamatwa, 87 waokolewa kwenye mtego wa utajiri Tanga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limewakamata watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa utapeli wa mtandaoni uliowalaghai vijana 87 kwa ahadi za kupata utajiri wa haraka kupitia kampuni isiyo...

  9. Ijumaa Kuu fursa ya kuondoa chuki, uonevu na ukatili

    Waumini wa dini ya Kikristo nchini wameshiriki ibada ya Ijumaa Kuu katika makanisa mbalimbali, wakitafakari mateso na kifo cha Yesu Kristo msalabani, huku viongozi wakihubiri ujumbe wa matumaini,...

  10. Wafanyabiashara 1,500 Soko la Mgandini hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko

    Hofu ya milipuko ya magonjwa imewakumba zaidi ya wafanyabiashara 1,500 katika Soko la Mgandini jijini Tanga, kufuatia uchafu uliokithiri na ukosefu wa vyoo katika eneo hilo linalotegemewa na...

Previous

Page 4 of 9

Next