Search

635 results for Mohamed Hamad :

  1. Mgambo adaiwa kujinyonga kisa ugomvi na mkewe

    Shukurani Jackson (34) mkazi wa Kiegea, Kata ya Sunya, wilayani Kiteto, mkoani Manyara, amedai kujinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ya manila chumbani kwake.

  2. Mtoto afariki dunia gunia likishika moto

    Mtoto mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya mkaa waliokuwa wameuhifadhi kushika moto na kuunguza nyumba walimokuwa wamelala.

  3. Makonda awataka mawaziri wanne kutatua kero Kagera

    Huenda changamoto za miundombinu, vitambulisho vya Taifa na soko la kisasa zinazoikabili Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zikapatiwa ufumbuzi baada ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul...

  4. Rais Mwinyi ateua 25, wamo majaji wa Mahakama Kuu

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewateua viongozi 25 kushika nyadhifa mabalimbali visiwani humo kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi wa Baraza la Mapinduzi, Zena Said, iliyotolewa...

  5. Jussa: Niko tayari kubeba majukumu ACT-Wazalendo

    Chama cha ACT-Wazalendo kimo katika mchakato wa uchaguzi wa ndani kuanzia ngazi ya matawi, kata, majimbo, mikoa na baadaye ngazi ya Taifa utakaofanyika Machi, 2024.

  6. Kikongwe wa miaka 80 auawa, nyumba yake yateketezwa moto Manyara

    Mkazi wa Kijiji cha Changombe, wilayani Kiteto, Mkoa wa Manyara, Nelson Lotisia Mollel (80), ameuawa kisha nyumba yake kuteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana.

  7. Madiwani wacharuka msimamizi mradi kukaidi maagizo

    Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, wameonyesha masikitiko yao kwa baadhi ya wasimamizi wa miradi ya ujenzi kuwa pamoja na ushauri wanaotoa baada ya miezi mitatu wakikutana tena...

  8. Makinda: Ruksa kutumia takwimu Sensa ya 2022

    Kamisaa wa Sensa nchini na Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema, ruksa kwa mdau yeyote anayetaka kutumia taarifa ya matokeo ya Sensa ya mwaka 2022.

  9. Morani wa Kimasai adaiwa kujinyonga Kiteto

    Kijana wa Kimasai rika la Morani, aliyejulikana kwa jina Sabaya Isaskar (31) mkazi wa Njaniodo, wilayani Kiteto mkoani Manyara amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ya manila.

  10. PRIME Mitazamo tofauti mkataba uwekezaji bandari

    Miongoni mwa waalikwa alikuwepo Katibu Mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima na Rais wa TEC, Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga ambao walishuhudia utiaji saini huo.

Previous

Page 4 of 64

Next