KONA YA FYATU MFYATUZI: Nahamia ughaibuni tozo tatizo Hivyo, nakuja na mbinu ya kujikomboa na kuondokana na kadhia hii iliyogeuka donda ndugu kama siyo donda rafiki.
Hii hapa nafasi ya ndugu, jamaa katika ndoa Kila mtu ana ndugu na jamaa ambao hawezi kuwaepuka kwa kuwa hatuwachagui wala kuwachagua, tofauti na wenza wa ndoa ambao huchaguliwa kwa mapenzi na makubaliano. Kutokana na hali hii, ni muhimu...
PRIME KONA YA FYATU MFYATUZI: Tujifunze ya uchaguzi mkuu kwa Botswana Hivi karibuni Botswana, inayosifika kwa ufanisi kiuchumi na ubora na ugwiji katika demokrasia na utawala bora, kwa mara ya kwanza tangu ipate uhuru mwaka 1966, imekibwaga chama kilicholeta uhuru...
NDOA: Changieni maisha si harusi Japo ndoa ni ya wawili, inagusa jamii pana na ni muhimu, lakini maisha ya ndoa ni muhimu zaidi. Utaliona hili pale inapofana au kutofana. Leo tutaongelea utamaduni mbaya uliojaa ubinafsi.
PRIME Bomoa mijengo yote ya Kalia Koo Baada ya chimbuachimbua na kutofuata sheria kufanyika ili kuongeza ukubwa majumba ambayo yamesajiliwa kwa shughuli nyingine kujiingiza kwenye biashara isiyolipiwa kodi ya kuhifadhi bidhaa...
Kuwa makini mitandao isikuvunjie ndoa yako Tuanze na kisa kilichotokea nchini Marekani mwaka jana. Mwanandoa mmoja alimtoa roho mwenzie kisa mitandao ya kijamii na tamaa. Wanandoa hawa waliokuwa wamedumu miaka 10 walijikuta pakanga. Baba...
PRIME Profesa chawa jua huyu ni profedheha Leo nafyatuka na wasomi, wawe wa kweli au kanjanja. Katika kudurusu maana ya usomi na namna unavyopatikana na kutumika, nimejikuta nikijiuliza maswali lukuki, mojawapo likiwa msomi ni nani, ame...
PRIME FYATU MFYATUZI: Kwa nini tumeruhusu kupigwa kwenye mazao ghafi? Leo nafyatua masuala ya biashara, uchumi, ujasiriamali na utengezaji njuluku ndefu tena kirahisi kwa kufyatua mafyatu wasiofyatuka wakaishia kufyatuliwa. Usishangae. Nimesomea madude mengi sana.
Usiolewe kwenda kufarakanisha ndugu Kuna wanawake wenye roho mbaya na wachoyo wanaokamia kuolewa huku wakipania kwenda eti ‘kuwakomesha’ ndugu wa mume! Mara nyingi, wanawake wa namna hii wanaokwenda kuolewa ili kufarakanisha...
PRIME Pumzika salama Jenerali David Musuguri Mpendwa Jenerali David Bugozi Waryoba Musuguri Nzangho aka Chakaza (RIP).