Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa wafikia asilimia 63, Ulega atoa agizo Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema amesema mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa unapaswa kutazamwa kama mboni kwa kila mpenda maendeleo na ukikamilika utunzwe
Wakulima ufuta Lindi waiangukia Serikali Lindi. Wakulima wa ufuta Mkoani Lindi wameiomba Serikali kuwapatia ruzuku ya pembejeo kwa ajili ya zao hilo. Wakulima hao wanataka ruzuku ya pembejeo kama inavyofanyika kwenye zao la korosho...
UDSM kujenga matawi mawili mkoani Lindi Ili kupanua wigo na upatikanaji wa Elimu ya juu nchini hususani taaluma ya kilimo, Chuo Kikuu cha Dar es Saaam (Udsm) kimeamua kujenga matawi mkoani Lindi kwa ajili ya Kilimo.
Mapadri waliokufa ajalini wazikwa, Askofu alia ubovu wa barabara Aliwataja waliofariki dunia kuwa ni Bruda Bakanja Mkenda (51), Padri Pius Boa (51) na Padri Cornelius Mdoe (55).
Mapadri, bruda waliofariki ajalini kuzikwa Julai 17 Mapadri hao ni Cornelius Modoe (55) wa jijini Dar es Salaam, Pius Boa (51) mkazi wa Tanga na Bakanja Mkenda (51) ambaye ni bruda mkazi wa Dar es Salam.
Mapadri wawili, bruda wafariki ajalini Lindi Ni katika ajali iliyotolea asubuhi ya leo Ijumaa, eneo la Mtualonga barabara ya Masasi- Mnazi Mmoja katika Halmashauri ya Mtamaa, Mkoa wa Lindi na majeruhi wawiki. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi...
Hofu mradi wa maji kukamilika Ruangwa, mkandarasi alia na malipo Hofu katikati ya matumaini ya kupata maji safi imetanda wilayani Ruangwa mkoani Lindi baada ya mkandarasi wa mradi unaotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa mazingira Vijijini (Ruwasa)...
Wakulima wa ufuta Kilwa walalamikia mfumo wa TMX Imedaiwa kuwa, mfumo wa TMX hauwanufaishi wakulima kwa sababu unashusha bei kwa haraka
Wananchi wa Lindi wang’atwa sikio mapambano ya udumavu Ofisa Lishe wa Mkoa wa Lindi, Juliana Chikoti rai kwa wananchi mkoani humo kutilia mkazo kilimo cha chakula badala ya mazao ya biashara pekee.
Baba na mwana wanyongwa na watu wasiojulikana Jeshi la Polisi mkoani Lindi limewataja waliofariki kuwa ni Muhidini Mangunga (69) na mtoto wake, Ramadhani Muhidini (10) aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la tatu Shule ya Msingi Kitomanga.