Sintofahamu mwili wa kichanga kutoonekana mochwari ya Mawenzi Mtoto huyo, Doreen Edward ambaye alizaliwa Januari 6, 2026 alifariki dunia Aprili 10, 2026 katika hospitali hiyo aliyokuwa amelazwa akisumbiliwa na tatizo la kubanwa na kifua.
DC Arusha aonya matumizi mabaya ya magari ya Serikali Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanatumia ipasavyo magari ya Serikali yaliyotolewa kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi...
Mvua yaleta kizaa zaa Kilimanjaro, wanane wakinusurika Siha. Watu wanane wamenusurika kusombwa na mafuriko katika Kijiji cha Koboko Kusini, kata ya Nasai, Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro baada ya nyumba zao kuzingirwa na mafuriko yaliyotokana na...
Serikali yatuma wataalamu wa jiolojia kuchunguza ardhi kupasuka Same Mpaka sasa, kaya 10 zimeyakimbia makazi yake katika kijiji hicho huku moja ya nyumba za ibada ikishindwa kutumika, baada ya kutengeneza nyufa zilizosababishwa na hali hiyo.
Wakulima wa kahawa watakiwa kuachana na kilimo cha mazoea Serikali imewataka wakulima wa kahawa nchini kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake kuzingatia kilimo cha kisasa chenye tija ili kuongeza uzalishaji, kuboresha ubora wa kahawa na kuwapa...
Wananchi Moshi walalamikia bei ya sukari kupanda Baadhi ya wananchi mkoani Kilimanjaro wamelalamikia baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya rejareja mkoani humo kuwapandishia bei ya sukari kiholela, wakisema hali hiyo inazidi kuwaumiza kutokana...
Ijumaa Kuu fursa ya kuondoa chuki, uonevu na ukatili Waumini wa dini ya Kikristo nchini wameshiriki ibada ya Ijumaa Kuu katika makanisa mbalimbali, wakitafakari mateso na kifo cha Yesu Kristo msalabani, huku viongozi wakihubiri ujumbe wa matumaini,...
Wananchi washauriwa kuhama maeneo yaliyopasuka Same Mtaalamu wa jiolojia kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania, Gabriel Mbogoni, amewashauri wananchi wa Kijiji cha Marieni, Kata ya Chome, wilayani Same mkoani Kilimanjaro...
Simanzi yatanda mazishi ya mwenyekiti aliyeuawa Kamanda Maigwa amesema mtuhumiwa alimkimbiza marehemu kabla ya kumshambulia kwa kitu chenye ncha kali, kumkata shingo na kutenganisha kichwa na kiwiliwili, kisha kuondoka nacho.
PRIME Hofu yatanda Same ardhi ikipasuka Hofu, sintofahamu na taharuki vimetanda katika Kitongoji cha Makandeni, Kijiji cha Marieni, Kata ya Chome wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro baada ya ardhi kuanza kutitia na kujipasua kuzalisha...