Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

412 results for Peter Akaro :

  1. Mambo tisa ya kushangaza kuhusu Queen Darleen WCB

    Mwimbaji wa Bongofleva, Queen Darleen alikuwa ndiye msanii wa kwanza wa kike kusainiwa katika lebo ya WCB Wasafi yake Diamond Platnumz lakini kwa sasa amekuwa kimya sana kitu kinachoacha maswali.

  2. AY alivyobeba dhamana ya Shetta, video ya Kerewa

    Misifa Camp na Darstamina ni barabara iliyomfikisha alipo leo kimuziki, ibarikiwe mikono iliyowalea Pancho Latino, Mona Gangster na Belle 9 ambao ndio walimleta Shetta katika masikio ya wengi kwa...

  3. Huu sasa mtihani kwa Paula!

    Supastaa wa Next Level Music (NLM), Rayvanny amedondosha ngoma yake, Pere (2025), akishirikiana na Marioo na Harmonize. Kolabo hii kwa namna moja au nyingine ni mtihani kwa Paula, binti wa...

  4. Safari ya Joslin na Wakali Kwanza hadi kutusua

    Msanii wa Bongofleva Joslin ni miongoni mwa wasanii watatu waliounda kundi la Wakali Kwanza akiwa na wenzake Q Jay na Makamua huku MJ Records wakitoa kazi zao nyingi hapo ambazo ziliwapatia...

  5. Kim ahitimu sheria kwa malengo mawili

    Hatimaye wiki hii mwanamitindo na staa wa televisheni Marekani, Kim Kardashian (44) amehitimu shule ya sheria baada ya miaka sita ingawa mpango huo ulipaswa kuwa ya miaka minne ili ukachukua muda...

  6. PRIME Oscar Oscar kimuziki amepita njia za hawa!

    Mtangazaji Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua ameteka mazungumzo mtandaoni wiki hii baada ya kutoa wimbo wake, Mniombee (2025) ambao ukiachana na ujumbe wake ulioacha gumzo, ameonyesha uwezo mkubwa...

  7. PRIME Sasa ngoma ni Hamisa Mobetto dhidi ya Pep Guardiola!

    SIKU CHACHE zilizopita Hamisa, Miss XXL After School Bash 2010, alionekana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akimuaga Aziz Ki.

    MOBETO Pict
  8. PRIME Tutarajie nini kufuatia EP ya kwanza kutoka kwa Jux?

    Staa wa Bongo fleva, Jux ameachia EP yake ya kwanza, A Day To Remember (2025) yenye nyimbo saba ila tatu kati ya hizo zilishatoka awali ambazo ni Si Mimi, God Design na Ex wa Nani wenye mahadhi...

  9. Kwanini K-Lynn hakuwa mkubwa kama Mariah Carey?

    Mwimbaji K-Lynn aliingia katika Bongofleva na kutikisa na kibao chake, Nalia kwa Furaha (2004) akiwa tayari ni maarufu kufuatia kutwaa taji la Miss Ilala kisha Miss Tanzania 2000 na kushiriki...

  10. Diamond anavyozichanga karata kwa namna yake

    Kwa haya yanayoendelea sasa, ni wazi linapokuja suala la rekodi lebo kwa hapa Bongo bado Diamond Platnumz anaendelea kusimama kama mfano wa kuigwa licha ya yote ambayo amewahi kupitia na WCB yake

Previous

Page 5 of 42

Next