Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

71 results for Denis Sinkonde :

  1. Chongolo aagiza mzee aliyeporwa ardhi arejeshewe

    Amesema eneo hilo alilitoa mwaka 1982 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo baada ya kijiji kukosa eneo la kuijenga.

  2. Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe  akishirikiana na hawara

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawala yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

  3. Wakazi wachekelea kukamilika mradi wa maji Songwe

    Wakazi wa Songwe wamesema kukamilika kwa mradi wa maji kutasaidia waache kutumia ya madimbwi na mifugo

  4. Chongolo aja na mbinu mpya ujenzi vyoo bora kwa kaya

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amesema anaanzisha mashindano ya ujenzi wa choo bora wilayani Momba na kaya itakayoibuka na ushindi itajipatia mifuko mitatu ya mbolea.

  5. Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameagiza kukamatwa ndani ya siku 21 kwa wanaume waliohusika kuwapa mimba wanafunzi 194 wa shule za msingi na sekondari katika Wilaya ya Momba mkoani Songwe...

  6. Madaktari bingwa na bobezi waweka kambi nyanda za juu kwa siku tano

    TSImeelezwa bado kada ya madaktari bingwa ina wataalamu wachache ukilinganisha na mahitaji

  7. CWT yawafedhehesha walimu Songwe

    Kwa upande wake, mwalimu Bestina Mbuligwe amesema wamesherekea sikukuu ya wafanyakazi kama yatima kutokana na sintofahamu ya kukosa sare za walimu mkoa wa Songwe ambao ni wanachama wa (CWT)...

  8. Chongolo ashtuka kasi ya mimba za utotoni

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Gallus Hyera amewatangazia kiama wanaume wenye tabia za kujihusisha kimapenzi na watoto

  9. Wakazi Ileje waiangukia Serikali mradi wa maji ukamilike

    Wananchi wametoa maombi hayo kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo jana Aprili 30,2024 wakati akikagua ujenzi wa mradi unaotekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira(Ruwasa)

  10. Chongolo acharuka, ataka uchunguzi ujenzi wa bweni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani humo, kufanya uchunguzi wa matumizi ya fedha kwenye ujenzi wa bweni la...

Previous

Page 6 of 8

Next