Uchunguzi madai ya shule kuwa na kitabu kimoja wabaini siyo kweli
Sakata la mama aliyejitokeza mbele ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, akidai kuwa Shule ya Msingi Kirachi iliyopo Kata ya Kisale Msaranga, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, ina kitabu kimoja...