Walioingia na kutoka timu Ligi Kuu Zimebaki wiki chache kabla ya kufunguliwa kwa msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2019/2020 huku idadi kubwa ya timu zikiwa katika maandalizi.
Simba yaikalia kooni Yanga Simba imezidi kupunguza pengo la idadi ya pointi baina yake na Yanga ambao wanaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya jana kupata pointi tatu dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine,...
Simba yaishusha Azam Ligi Kuu Mabao ya Emmanuel Okwi na John Bocco yalitosha kuipandisha Simba hadi nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara huku ikifikisha penalti nne katika mechi tano.
Chama aeleza ushindani wa namba Taifa Stars - 3 Katika matoleo mawili mawili yaliyopita tulitazama maisha ya nyota wa zamani wa Yanga, Majimaji, Ndovu FC na Pamba, Rashid Idd ‘Chama’. Tunaendelea na simulizi ya mwisho namna beki huyo...
Uchimbaji madini tishio linalohatarisha uhai wa hifadhi za Manyara, Tarangire Sekta ya utalii inaongoza nchini kwa kuingiza fedha za kigeni. Katika pato la taifa mchango wa sekta ya utalii ni zaidi ya asilimia 18.
Bogoss kuisindikiza Sikinde miaka 40 ya kuzaliwa Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika viwanja vya Bandari Tandika jijini Dar es Salaam
VIDEO: Vurugu zatawala uchaguzi jijini Arusha Matukio ya mgombea kujeruhiwa, mbunge kupigwa, viongozi wa vyama na wafuasi kujeruhiwa ni baadhi ya mambo yaliyotawala jijini Arusha katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana.
Vurugu zaibuka uchaguzi Arusha, polisi wachunguza Jeshi la polisi mkoani Arusha limefungua jalada la uchunguzi wa matukio ya vurugu katika uchaguzi kata ya Kaloleni jijini Arusha baada ya watu wawili kuchomwa visu huku mbunge wa Arusha mjini...
DED, ofisa tawala wajitosa kumrithi Profesa Majimarefu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, John Shari na Ofisa Tawala wa wilaya hiyo, Michael John ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliojitokeza kurithi nafasi ya ubunge wa Korogwe...
VIDEO: Saa 12 muhimu za Dk Kigwangalla Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla amezungumza na Mwananchi akiwa wodini Mwaisela katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akisema hana mengi zaidi ya shukrani kwa Mungu na wote...