Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1438 results for Janeth Joseph :

  1. Wanne wa familia moja wafariki dunia kwa ajali ya gari Korogwe

    Watu wanne wa familia moja, akiwemo mama wa bwana harusi, wamefariki dunia kwa ajali ya gari wakitokea harusini jijini Dar es Salaam kuelekea Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.

  2. Kesi ya anayedaiwa kumuua mumewe yapigwa Kalenda

    Tukio hilo la mauaji ya mfanyabiashara huyo maarufu mjini hapa, lilitokea usiku wa Mei, 25 2024 katika Kitongoji cha Pumuani A, wilayani Moshi

  3. Watu wasijulikana wadaiwa kumuua mfanyabiashara Moshi

    Imedaiwa kuwa, Christina alikuwa akigombea kipande cha ardhi na mtoto wa mwanamume aliyezaa naye

  4. Dereva wa aliyekuwa RAS K’manjaro azikwa, viongozi wa dini wakemea mauaji ya albino

    Wakati dereva wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa kilimanjaro, Alphonce Edson (54) akizikwa katika makaburi ya familia, Mchungaji Thobias Msekwa ametumia nafasi hiyo kukemea vitendo vya...

  5. Dereva aliyekufa ajalini na RAS Kilimanjaro kuzikwa kesho

    Dereva wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Alphonce Edson (54), anatarajiwa kuzikwa kesho Jumatatu, Juni 24, 2024, nyumbani kwake, Kata ya Kahe Magharibi, Wilaya ya Moshi, mkoani...

  6. Nzunda aagwa Kilimanjaro, madereva wa Serikali wanyooshewa kidole

    Wakati mamia ya waombolezaji wakiaga mwili wa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda (56), aliyefariki dunia kwa ajali ya gari yeye na dereva wake, serikali imetakiwa...

  7. Wahamiaji haramu wakamatwa wakisafirishwa uvunguni mwa gari

    Siku chache baada ya wahamiaji haramu saba kutoka Ethiopia kukamatwa wakisafirishwa kwa gari la kifahari ‘shangingi’ mkoani Kilimanjaro, wahamiaji haramu wengine watano kutoa nchi hiyo...

  8. Vilio, simanzi vyatawala nyumbani kwa RAS Kilimanjaro

    Kesho Ijumaa, Juni 21 mwili huo utapelekwa Songwe kwa mazishi ambayo yatafanyika siku ya Jumamosi, Juni 22.

  9. Mbowe awasili nyumbani kwa RAS K’njaro, atoa pole kwa familia

    Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amefika nyumbani kwa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro (RAS), Tixon Nzunda (56) kutoa salamu za...

  10. Dk Mpango aeleza ya kukumbukwa kwa RAS Kilimanjaro

    Dk Mpango amewataka viongozi kuishi vizuri na watu wawapo kazini, majirani na marafiki ili utakapoondoka duniani wakumbukwe kwa mema

Previous

Page 59 of 144

Next