Polisi yakana kumshikilia ‘mchepuko’ wa Msele, kuzikwa Jumamosi Wakati taarifa zikisambaa maeneo mbalimbali Mjini Moshi za kukamatwa kwa mwanamke aliyezaa na Ephagro Msele anayedaiwa kuuawa na mkewe Beatrice Elias (36) baada ya kumfuma naye, Kamanda wa Polisi...
Polisi wakabidhi mwili wa mume aliyeuawa nyumbani kwa ‘mchepuko’ Siku tatu baada ya kutokea kifo cha Ephagro Msele (43) anayedaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu na mkewe Beatrice Elias (36), Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limewakabidhi ndugu mwili wa marehemu.
Mke adaiwa kumuua mumewe nyumbani kwa mzazi mwenzake Tukio la mauaji ya Ephagro Msele limetokea Mei 25, 2024, saa 3:50 usiku katika Kitongoji cha Pumuani A, Kata ya Kirua Vunjo
Frateri aliyejinyonga azikwa bila sala Hata hivyo, Frateri huyo wa Shirika la Roho Mtakatifu la Kanisa Katoliki, amezikwa bila kufuata taratibu za Kikatoliki, ambazo haziruhusu mtu aliyejinyonga kusomewa ibada ya maziko.
Makonda ataka mzigo usiku na mchana kunasua nyumba zilizozama Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Dadi Kolimba kusimamia kazi ya kutoa maji na kujenga mitaro ifanyike usiku na mchana katika Mtaa wa Mangafi ili nyumba...
Askari Kinapa anayedaiwa kumuua raia kwa risasi apandishwa kortini Hata hivyo, askari huyo ambaye hakuruhusiwa kujibu chochote mahakamani hapo, kesi yake imepangwa kutajwa tena Mei 31, mwaka huu.
Mwamba wenye sura za binadamu wageuka kivutio Same Pamoja na mwamba huo wenye taswira ya mwanaume, pembeni yake, kushoto na kulia, zipo taswira mbili za wanawake wanaoonekana ni wajauzito.
Serikali kuzihamisha kaya 1,712 KIA ifikapo Juni Kati ya kaya 1,712 zilizopaswa kuhama, hadi sasa, kaya 46 bado hazijapokea malipo ya fidia kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kesi mbili za mirathi, kukosa akaunti za benki na kutofautiana...
Anayedaiwa kuuawa kwa risasi na askari wa Kinapa azikwa Temba anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi kichwani na askari wa Kinapa Mei 9, mwaka huu wakati akikata majani kando ya hifadhi hiyo ya Kinapa.
Bomoa bomoa yashika kasi KIA Mkuu wa Mkoa wa Kilimanajro, Nurdin Babu amesema wanaopaswa kuondoka upande wa Wilaya ya Hai ni kaya 1,061.