Uhaba wa watalaamu, miundombinu hafifu kikwazo sekta ya afya
Waziri Mazrui amesema hayo leo Jumanne Mei 27, 2025, wakati akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/26 huku akianisha vipaumbele vya wizara...