Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1439 results for Janeth Joseph :

  1. Aliyesota hospitali miaka 16 akuta nyumba yake haipo

    Mpaka sasa Matemu amefikisha miaka 16 akiwa hospitali akiendelea na matibabu huku wazazi wake wote wawili pamoja na ndugu zake wengine sita wakiwa wameshafariki dunia akiwa bado hospitalini.

  2. Figisu mradi wa maji watua kwa RC

    Malalamiko ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha kuhusu hujuma katika mradi mpya wa maji wa Gararagua, ulioigharimu Serikali zaidi ya Sh1.7 bilioni, yametua kwa Mkuu wa Mkoa wa...

  3. Wawili kortini wakidaiwa kumuua ‘house girl’

    Hai. Watu wawili ambao ni wakazi wa kijiji cha Uswaa, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro wamepandisha kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wakikabiliwa na tuhuma za...

  4. Wafanyakazi 279 wa KADCO wahakikishiwa ajira zao

    Serikali imesema wafanyakazi 279 waliokuwa wakifanya kazi na Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (KADCO) wataendelea kupata stahiki zao kama kawaida serikalini.

  5. Miche 150,000 ya kahawa yagawiwa, kusaidia wakulima

    Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) kwa kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kahawa nchini (TaCRI) imegawa miche bora ya kahawa zaidi ya 150,000, kwa wakulima katika Wilaya ya Rombo, mkoani...

  6. Mataifa 22 wajadili kukabiliana na ujangili wa wanyamapori

    Wataalam hao wamekutana jana Novemba 9 katika mkutano wa nane wa kimataifa wa mtandao wa uchunguzi wa kisayansi wa uhalifu wa wanyamapori katika bara la Afrika (African wildlife forensics...

  7. Magonjwa yasiyoambukiza yaua watoto kwa asilimia 25 KCMC

    Asilimia 25 ya vifo vya watoto katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC vinatajwa kutokana na magonjwa yasiyoambukiza, huku sababu kubwa ikielezwa kuwa ni watoto kuzaliwa kabla ya...

  8. Mvua yaleta maafa Rombo, mmoja afariki

    Mtu mmoja anayetambulika kwa jina la Costastine Aniset shao (45), mkazi wa Kijiji cha Mamsera Juu, Kata ya Mamsera, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, amefariki duniani baada ya nyumba yake...

  9. Wanasayansi kujadili utafiti wa Tanzania virutubisho kinga mwili

    Amesema wataendelea kufanya makongamano ya kisayansi kila mwaka ili kuweza kuwasilisha machapisho mbalimbali ya kitafiti ya kisayansi yanayofanywa na chuo hicho ikiwashirikisha washiriki wa...

  10. Simulizi ya aliyekaa hospitali miaka 16 akitibiwa

    “Wazazi wangu na ndugu zangu wengine sita wote wamefariki, walifariki wakati nipo hospitali nimelazwa. Nawaza nikitoka hospitali kurudi nyumbani, sijui nitapakuta vipi maana hata mke wangu...

Previous

Page 76 of 144

Next