Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Mikoa yaanza kukabili Uviko-19 na mafua makali, wananchi wasuasua

    Siku moja baada ya taarifa za ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 na mafua makali ya Influenza katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya utekelezaji wa hatua za kujikinga imeanza kuchukuliwa baadhi...

  2. Mradi kurejesha misitu kutekelezwa Karatu, Monduli

    Ili kuboresha shughuli za uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, mradi maalumu wa kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa wazalishaji na wafanyabiashara wadogo wa Wilaya ya...

  3. Sh500 milioni kupunguza changamoto ya maji Kimochi

    Naibu Waziri wa Maji, Kundo Mathew, amesema Serikali itapunguza kwa kiasi kikubwa changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama kwa zaidi ya wananchi 16,000 wa Kata ya Kimochi, Wilaya ya...

  4. Serikali yaingilia kati mgomo wa madereva daladala Himo

    Madereva daladala eneo la Njia Panda, Himo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, waligoma kwa zaidi ya saa tano wakidai madereva bajaji kuwanyang’anya abiria katika vituo vyao vya kupakia na...

  5. Skimu ya umwagiliaji kunufaisha wakulima 24,500 Mwanga

    Wananchi wa Kata ya Kigonigoni, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kuharakisha utekelezaji wa mradi wa skimu ya umwagiliaji unaoendelea katika eneo hilo, wakisema kukamilika...

  6. Mwenyekiti wafanyabiashara Arusha ashikiliwa, Mbunge…

    Jana Jumanne Februari 24,2026, mbele ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, Josephine alidai mbunge huyo na Mollel walihusika kushiriki kumdhulumu mali zake zilizokuwa dukani.

  7. Radi yaua mmoja Kilimanjaro 

    Stephano Zawadi (43), mkazi wa Kitongoji cha Kambeni, Kata ya Myamba, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro amefariki dunia kwa kupigwa radi wakati alipokuwa akimfuata mkewe shambani kuzuia tumbili...

  8. Wananchi Mwanga walalamikia uhaba nyumba za watumishi wa afya

    Baadhi ya wananchi wa kata za Kirya, Kilomeni na Lembeni, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro wamelalamikia ukosefu wa nyumba za wahudumu wa afya katika baadhi ya zahanati, hali inayosababisha...

  9. Serikali yatoa tahadhari ugonjwa wa silikosisi, 40 wakilazwa Kibong'oto

    Mpaka sasa zaidi ya watu 40 wanaosumbuliwa na ugonjwa huo wamelazwa katika Hospitali maalumu ya Taifa ya magonjwa ambukizi Kibong'oto,

  10. Shule mpya kumaliza kero ya wanafunzi kutembea umbali mrefu

    Hai. Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, kata ya Weruweru, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya sekondari Mbatakero ambapo wanafunzi walikuwa wakitembea...

Previous

Page 9 of 144

Next