Wawakilishi wataka hatua za wazi mifugo kuvamia mashamba ya wakulima
Licha ya Serikali kueleza mipango yake ya kuimarisha kilimo, ikiwemo kuotesha miche na kuwagawia wakulima, wawakilishi wameibua changamoto kubwa inayowakumba wakulima, ikihusisha mazao yao...