Hilo ndilo chimbuko la Sinza kwa wajanja Kwa mujibu wa mkazi wa eneo hilo kwa takribani miaka 30, Mwajuma Shabani anaeleza Sinza halikuwa eneo lililochangamka na pilikapilika za hapa na pale kama ilivyo sasa.
Salenda daraja la mzungu John Selander Huwezi kutaja maeneo ya jiji la Dar es Salam, ukaliacha daraja hili lililopo Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, zamani Bagamoyo.
Wahitimu wafundwa kinachowasubiri mtaani Wahitimu wamehimizwa kutumia elimu na maarifa waliyopata chuoni kwa vitendo, wakihakikisha wanasaidia kutatua changamoto zinazoikabili jamii.
'Mocha Mousse’ rangi ya mwaka 2025 Kila inapofika mwishoni mwa mwaka mamlaka ya kimataifa ya rangi - Pantone huchagua rangi ya mwaka unaofuata.
Wanawake 300 waliopata majeraha makubwa ya ukatili, ajali warejeshewa tabasamu Dk Ali amesema kutokana na majeraha hayo, wanawake walioathiriwa wanaweza kushindwa kuteketeleza kikamilifu majukumu yao ya kila siku kwa upande wa familia na shughuli za kiuchumi.
Wasomi wahimizwa kuleta maendeleo chanya katika jamii Amewasisitiza kuwa wepesi kuangalia sehemu nyingine ambapo maarifa na ujuzi wao, unaweza kutumika kwa ufanisi zaidi kuliko kusubiri ajira serikalini au katika sekta binafsi.
Chanzo cha H. Pylori na jinsi ya kuiepuka Ukipata dalili hizi ni vyema kufika hospitali kufanyiwa vipimo na uchunguzi wa kitabibu kwa sababu huenda ukawa unasumbuliwa na bakteria aina ya H. Pylori.
Fanya haya kumsaidia mtoto kuwa mbunifu Ubunifu ni uwezo wa kufikiri, kutafuta majibu, au kutatua changamoto kwa namna isiyotarajiwa.
Imani potofu, gharama zinavyokwaza tiba ya kifafa Dar es Salaam. Ukosefu wa elimu kuhusu magonjwa ya mishipa ya fahamu, ukiwemo wa kifafa, unatajwa kama moja ya sababu ya wanaotumbuliwa na tatizo kutojitokeza kupatiwa matibabu. Mbali ya hayo...
Gwajima afungua pazia kuelekea Siku ya Wanawake 2025 Wakati maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yakitarajiwa kufanyika kwa ngazi ya taifa Machi 2025, Serikali imesema hatua hiyo itakuwa fursa ya kutathmini hatua iliyofikiwa na wanawake katika...