DC Same aagiza Takukuru kuchunguza mradi wa maji wa Sh1 bilioni
Mkuu huyo wa wilaya ametoa maagizo hayo, wakati alipokwenda kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo, ikiwemo miradi ya maji, ujenzi wa madarasa ya Shule ya Msingi Mbono...