Shambulizi la Septemba 11 lilivyobadilisha mtazamo wa dunia kisera
Leo Septemba 11, inatimia miaka 23 tangu lilipotekelezwa shambulizi kubwa la kigaidi duniani, Septemba 11, 2001, jijini New York, Marekani, tukio ambalo lilibadilisha sera za Marekani na uhusiano...