Hali ya uvuvi, biashara baada ya ziwa Tanganyika kufunguliwa
Mei 15, 2024 Serikali ya Tanzania ilifunga ziwa Tanganyika kwa miezi mitatu, ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano na nchi zinazolizunguka ziwa hilo, ikiwemo Zambia, DR Congo na Burundi, lengo...