Ndani ya Boksi: King Kong Chuma Chid Benz 'izi baki' “Muda” bonge la wazo. Bonge la biti. Bonge la sauti laini na ngumu. Kifupi lililotendewa haki. Wimbo usingekamilika bila Chilla. Wazo la wimbo lisingekuwa na maana, kama angekuwa ni mtu mwingine...
PRIME Kesho kicheko, maumivu Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho, inang’ata na kupuliza kwa wafanyabiashara na bodaboda ambao wameondolewa baadhi ya kodi na tozo.
Ndani ya Boksi: No totoz, no TikTok, no waganga, no maombezi Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuoa mke wa mitandaoni. Hawezi kuwa na demu muuza sura mitandaoni. Sikatai kuwa nao ni viumbe walioumbwa na Mungu. Lakini wenye ukaribu zaidi na shetani
ATF yafundwa kupata fedha za afua za Ukimwi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi ameielekeza Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Ukimwi (ATF) kubuni mbinu za ndani za kutafuta fedha za kugharamia afua za...
Ndani ya Boksi: Mbosso Kila Harusi Milioni 50 Dar es Salaam. Issa Matona. Mishangazi na midingi inamjua. Mwamba kutoka Visiwani. Alikuwa ni mwanamuziki wa taarabu. Lakini taarabu yake ilikuwa tofuati na hii ya kina Mzee Yusuf na wenzake.
PRIME NDANI YA BOKSI: Saa 12 hadi saa 12 na Diamond Nachukua bajaji fasta Sinzani. Ndani ya bajaji goma ni Komasava la Mondi. Suka ana mizuka balaa, nikamchana apunguze sauti. Baada ya simu yangu kuita, mpigaji ni Agnes mtoto wa Joe. Huyu akipiga...
PRIME Hapa Hamisa kawaacha mbali Masista Duu Bongo Miaka hiyo. Staa mkubwa wa filamu akiwa Steve Kanumba na Ray Kigosi. Nyakati ambazo Mrisho Ngassa na Juma Kaseja wapo juu sana. Nyayo za Jakaya zikizitawala sakafu za Ikulu ya Magogoni. Maisha...
Jiongeze: Aziz Ki kabeba pesa na dada yetu Alichukuliwa kutoka Ivory Coast na kuletwa Tanzania. Alichotakiwa kufanya kakifanya, kisha kaenda zake Morocco. Akiwa mbali alionekana yeye. Akiwa karibu kaonekana yeye tena.
Ndani ya Boksi: Jux bishoo, yes! bishoo haswaa David Robert Beckham. Soka lake lilikuwa la kawaida mbele ya mafundi waliomzunguka. United ya Scholes na Cantona. Hadi Madrid ya Zidane na De Lima. Alikuwa taasisi ndani ya taasisi.
Ndani ya boksi: Tuna ‘aleji’ na mafanikio ya mtu Game liko chini ya soksi zake. Ndiyo! Analiendesha. Akiliamrisha linamtii. Anajituma. Ana pesa. Ana demu mzuri sana. Ni maarufu na anapendwa. Ndio unaweza kuwa maarufu lakini bado ukawa hupendwi.