Mmoja auawa na mwili wake kutelekezwa kichakani Kigoma
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Maneno Bufa, mkazi wa Gezaulole ameuawa na watu wasiojulikana, kisha mwili wake ukiwa na majeraha na kutelekezwa eneo la relini, jirani na chanzo cha maji cha...