PRIME Watumiaji ‘energy drinks’ waja na mapya Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu na ripoti mbalimbali za afya, matumizi ya mchanganyiko huo si tu hayana msingi wa kisayansi, bali yanaweza kuwa na madhara makubwa kiafya.
Miili ya wanandoa ilivyoagwa Dar, kuzikwa kesho Mwanga Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kushiriki safari ya mwisho hapa duniani ya wanandoa Antony Ngaboli (46) na Anna Amiri (39) katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Yohana Mbatizaji Bonyokwa, jijini...
Pombe ya ulanzi yagundulika kusaidia utunzaji viumbe maabara Moja ya tafiti kuhusu kinywaji hicho imefanywa katika Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (MUCE).
PRIME Unaishije na mwenza mliyetosana? Kuishi na mtu ambaye aliwahi kuwa sehemu ya maisha yako ya ndani kisha sasa si tena, kunaweza kuwa na changamoto nyingi, lakini pia ni nafasi ya kujifunza ukomavu, huruma, na uwezo wa kuendelea...
Kinababa mpo? Malezi si ya kinamama pekee Kwa mujibu wa utafiti na wataalamu mbalimbali wa malezi, ushiriki wa baba katika malezi ya mtoto si hiari tena, bali ni jambo la lazima kwa ukuaji bora wa mtoto.
PRIME Mapya yaibuka vifo vya wanandoa Simulizi ya kaka wa Antoni Ngaboli (46) ambaye pamoja na mkewe Anna Amiri (39) walibainika kuuawa wakiwa chumbani, nyumbani kwao Bonyokwa GK wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam imeibua mambo mapya.
Mbinu zabainishwa kuboresha tafiti, bunifu zinazofanyika Tanzania Pia wabunifu, watafiti pamoja na jamii kunufaika na tafiti na bunifu zinazofanyika nchini.
PRIME Hawa ndio maadui wa afya ya ngozi yako Wakati watu wengi wakikomalia matumizi ya vipodozi kuimarisha ngozi zao, wasichokijua ni kuwa afya ya ngozi inaweza kuboreshwa nje ya vipodozi.
Vijana Tanzania wanakumbwa na changamoto ya ukosefu wa ufadhili katika taasisi zao Mafunzo ya mara kwa mara yanahakikisha taasisi zina misingi imara za kuendeleza miradi ya kuinua maisha ya jamii, na hivyo kuhakikisha maendeleo endelevu.
Wanafunzi UDSM wabuni mfumo wa kutoa msaada wa kisheria kwa WhatsApp Kwa mujibu wa Hamisi, wazo la mfumo huu lilianza kwa kutengeneza video fupi zenye maudhui ya kisheria ili kuwafundisha watu kuhusu masuala ya kijamii na haki zao.