Mfugaji adaiwa kumpiga risasi mkulima Mkulima Walter Kaaya (34) mkazi wa Simanjiro mkoani Manyara amenusurika kifo baada ya kudaiwa kupigwa risasi na Mfugaji Paulo Laizer (43) baada ya kutokea mzozo uliotokana ng’ombe kuvamia shamba...
Kamati ya Bunge yashauriwa matrekta ya URSUS yateketezwe “Kama unaona kitu ni kibovu kinasumbua watu, unapeleka wapi huoni kinaweza kumsumbua watu wengine na kuwatia presha, kwanini matrekta haya yasiteketezwe kwa kuchomwa moto,” amesema.
DC: Wakulima Kiteto tengenezeni uongozi kuepuka migogoro Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mbaraka Batenga amesema anapata changamoto kubwa anapotaka kutatua migogoro ya ardhi wilayani humo kutokana na wakulima kutokuwa na uongozi unao julikana.
ACT: Wazanzibari kuweni wamoja haki za Muungano Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Juma Haji Duni ‘Babu Duni’ amesema Zanzibar inaminywa kwenye haki za msingi katika Muungano, hivyo kuwataka Wazanzibari kuweka kando tofauti zao za...
RPC Manyara aomba wananchi kujenga imani na Jeshi la Polisi Wananchi waondokane na fikra potofu kuwa Jeshi la Polisi halitendi haki, sasa waliamini na waondokane na fikra kwamba Polisi hawawezi kutenda haki na wababaishaji.
Bacca sio uaskari tu hadi chips kauza Haijawa ghafla kuibuka na kuwa kipenzi cha mashabiki, lakini beki huyo alikubali kuumia wakati anasota kupata namba kwenye kikosi cha kwanza Jangwani akijipa muda akiamini ingetokea siku...
Wawili mbaroni tuhuma za kujipatia fedha kwa njia zisizo halali Jeshi la Polisi Mkoani Manyara lashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na Sh20 milioni ambazo zinasadikiwa kupatikana katika njia zisizo halali ikiwemo wizi na uvunjaji wa nyumba pamoja na...
Kaburi la Membe hili hapa Ujenzi wa Kaburi la aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe atakayezikwa keshokutwa Mei 16, 2023 katika makaburi ya Kanisa Katoliki yaliyopo Kijiji cha Rondo...
Takukuru kuajiri watumishi wapya 322 Mkurugenzi wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), Salum Rashid Hamduni, mesema amepata kibali cha kuajiri watumishi wengine wapya 322 ili kuongeza jitihada za mapambano ya Rushwa...
Polisi Kiteto wateketeza ekari nne za bangi eshi la Polisi wilayani Kiteto, mkoani Manyara linawashikilia Tumaini Dornard (25) mkazi wa Wilaya ya Kongwa na Rajabu Mta (21) mkazi wa Kijiji cha Matui Kiteto kwa tuhuma kujihusisha na kilimo...