Nusu ya barabara za Dar ni mbovu, kilio chatanda Unapoingia jijini Dar es Salaam kupitia Barabara ya Morogoro, utapokewa na barabara za kuvutia zenye madaraja ya juu yanayopita magari na ya waendao kwa miguu, hakika utaona sura ya jiji...
‘Bajeti inayotekelezeka ni ya kununua mashangingi’ Ununuzi wa magari ya kifahari maarufu kwa jina la Mashangingi kwa ajili ya kuwaendesha viongozi wa Serikali, umeonyesha kuwakera baadhi ya wananchi, akiwamo Ismail Mohammed, aliyedai kuwa ndio...
Bunge latakiwa kuwajibika kwa wananchi matarajio ya bajeti Kutofikiwa kwa matarajio ya wananchi katika bajeti zinazopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano kumeelezwa kuwa ni kulegalega kwa mhimili huo katika kuisimamia Serikali.
Matarajio ya wananachi yapo kwenye bajeti kuu Matarajio ya wananchi wengi kwa sasa yapo kwenye bajeti kuu ambapo wanataka kusikia Serikali itarahisisha vipi ugumu wa maisha yao.
Kamati ya wafanyabiashara kuwasikiliza wa mikoani kwa siku nne Kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kutatua migogoro baina ya wafanyabiashara na Serikali, imemaliza kazi ya kukusanya maoni jijini hapa na sasa inaelekea mikoani...
Mpango mzima mabasi ya mwendokasi majijini Mataifa mengi yanayoendelea yanakabiliwa na changamoto ya uwiano sawa kati ya idadi ya miundombinu na huduma za kijamii zinazohitajika.
Utata waibuka baada ya lifti kuporomoka Dar Utata wa taarifa umeibuka juu ya lifti iliyokuwa na watu saba katika jengo la Millenium Tower, Kijitonyama jijini Dar es Salaam baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 na kuwajeruhi waliokuwamo.
Aliyejirusha ghorofani kuzikwa Ijumaa Joel aliyekuwa akifanya shughuli za ushehereshaji juzi alijirusha kutoka ghorofa ya saba ya jingo hilo hadi chini, huku mapaka sasa, hakuna taarifa zozote zenye kuonyesha sababu za yeye kufanya...
'Mwendokasi’ za Mbagala kutumia nishati ya gesi Mradi wa awamu ya pili ya mabasi yaendayo haraka barabara ya Mbagala unatarajiwa kuanza kazi rasmi Desemba mwaka huu, huku mabasi yake yakitarajiwa kutumia nishati ya gesi.
Sakaya afichua sababu ndoa za wabunge kuvunjika Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya amewashauri wanawake wanaoingia kwenye ubunge kuhakikisha wanapangilia muda wao, ikiwamo kuzingatia familia kwa kuwa ndiyo kila...