Bongo Fleva ni nyumbani kwa P-Square kwa miaka 17 sasa! Kwa sasa mwanachama wa kundi hilo, Rudeboy (Paul) anasikika sana katika Bongofleva baada ya kushirikishwa na Harmonize katika wimbo wake mpya, Best Couple (2025) uliyotayarishwa na Cukie Dady.
Jumba la J.Lo na Ben Affleck ladoda sokoni Hatimaye Jennifer Lopez, 55, na mtalaka wake, Ben Affleck, 52, wamefikia uamuzi wa pamoja wa kuliondoa sokoni jumba lao la kifahari lenye thamani ya Dola68 milioni lililopo Los Angeles baada ya...
Yammi alivyomrejesha Nandy kwa Billnass Kutokana na kitendo cha Yammi kuachana na The African Princess, lebo yake Nandy, kimemfanya mwanamuziki huyu kurejea katika mtindo wa uendeshaji lebo kama ilivyo kwa mumewe Billnass, rapa...
Aaliyah katika ndoto za Ramos kumpata Pilar Ikumbukwe Aaliyah aliyefariki dunia Agosti 25, 2001 katika ajali ya ndege huko Bahamas, alitoa wimbo huo chini ya Blackground Records na Jive Records akiwa na umri wa miaka 15 na hadi sasa ni...
Sio PSG tu, hata Rima anaitaka Ballon d’Or ya Dembele Baada ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza, sasa kiu ya mashabiki wa Paris Saint-Germain (PSG) ni kuona mchezaji wao, Ousmane Dembele anashinda tuzo ya mchezaji bora...
Picha lilivyoanza kati ya Beckham na Victoria wa Spice Girls Akiwa na rafiki yake wakitazama runinga katika chumba cha hoteli, David Beckham (50), alimuona Victoria (51), katika video ya wimbo wa kundi lake la Spice Girls, muda huo huo alivutiwa naye na...
Diamond hajapokea tuzo YouTube bahati mbaya Hivi karibuni Diamond Platnumz, mwanamuziki wa Bongofleva, akiwa huko Marekani alikabidhiwa tuzo (Diamond Creator Award) kufuatia kufikisha wafuatiliaji (subscribers) milioni 10 katika mtandao...
Harry Kane, Kate penzi la kidato kimoja! Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Bayern Munich, Harry Kane ana historia ya mapenzi isiyo ya kawaida ukilinganisha na wanasoka wengi wa daraja lake, na historia hiyo inakamilishwa na Kate...
Albamu 10 kali kutoka Bongo Records Kabla ya P-Funk Majani kuwa mtayarishaji wa muziki mwenye mafanikio makubwa, awali kabisa alikuwa ni rapa na DJ. Hiyo ilikuwa mwanzoni mwa miaka 1990 wakati huo alikuwa anaitwa DJ Skills of Pain...
Young Lunya katoweka na ‘Mbuzi’ wake! Rapa Young Lunya amebakiza siku chache tu kutimiza mwaka mmoja tangu alipotoa albamu yake, Mbuzi (2024) na tangu wakati huo amekuwa kimya bila kutoa kazi yake binafsi kwa ajili ya mashabiki wake...