Idadi ya wageni, mapato Ruaha yapaa baada ya Uviko-19 Hakuna ubishi kwamba athari za ugonjwa wa Uviko-19 zilikuwa kubwa na zilitikisa sekta nyingi nchini na duniani. Eneo la utalii ni miongoni mwa maeneo yaliyoathirika zaidi baada ya nchi nyingi...
Matokeo na kiini cha mgogoro wa ardhi Mbarali Serikali imefuta vijiji vitano Wilaya ya Mbarali na vitongoji 47; kati ya vitongoji hivyo 44 vipo Mbarali na vitatu Chunya.
Mwigulu aibua mkakati kudhibiti mauaji Pwani Mauaji mfululizo ya viongozi wa vijiji na askari wa Jeshi la Polisi yamechukua nafasi katika hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani, ambayo imebainisha ongezeko la uhalifu kwa asilimia saba.
Pinda, Mbowe ngoma nzito bungeni Mvutano kuhusiana na mchakato wa kupata Katiba Mpya unaozigonganisha Serikali na Chadema ulizidi kupamba moto bungeni jana wakati wa mjadala wa kuhitimisha hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.