PRIME Usaliti kidijitali unavyowaweka wenza majaribuni Mitandao ya kijamii imerahisisha mawasiliano lakini pia imefungua milango ya majaribu kwa wenza.
Rais Samia aendeleza ndoto ya Magufuli kwa uzinduzi wa Daraja la JPM Uzinduzi wa Daraja la JPM (maarufu kama Daraja la Kigongo–Busisi) utakaofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ni tukio la kihistoria linalobeba uzito mkubwa katika maendeleo ya kitaifa, hasa kwenye...
PRIME Usichokijua unapochangia damu Kwa mujibu wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama, mwanamke anaweza kuchangia damu kila baada ya miezi minne na mwanamume anaweza kuchangia kila baada ya miezi mitatu.
PRIME Ina pande mbili kicheko, maumivu Ni bajeti ya kicheko na maumivu, hivi ndivyo inavyoweza kutafsiriwa kufuatia bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 kuwa na pande mbili zinazowagusa wananchi.
MV New Mwanza yafanya jaribio kupima mitambo ndani ya Ziwa Victoria Meli ya MV New Mwanza imefanyiwa majaribio ya mitambo ndani ya Ziwa Victoria kwa mwendo wa saa mbili kisha kurejea Bandari ya Mwanza Kusini inakojengwa.
Madhara wanandoa kufichana wosia Ingawa mara nyingi watu hukwepa au kuogopa kuzungumzia suala la wosia, kwa madai ya mtu kujichuria kifo, ni jambo la msingi sana katika kuhakikisha usalama na utulivu wa familia pale mmoja au...
PRIME Madhara ya kuweka maji, soda za chupa juani Madhara haya yanaweza kuwa ya muda mfupi au ya muda mrefu, kutegemeana na kiwango cha athari na muda wa matumizi ya vinywaji hivyo vilivyokaushwa na jua.
Maji Ziwa Victoria kufanyiwa utafiti ubora wake Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) inatarajia kufanya utafiti wa maji ya Ziwa Victoria ili kujua ubora wake yanayotegemewa na watu milioni 45 kwa nchi za Afrika Mashariki.
Kwimba yataja siri kushika namba moja mtihani wa ‘Mock’ Kanda ya Ziwa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imeibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza katika mtihani wa utimilifu wa darasa la saba (Mock) kwa mwaka 2025.
PRIME Marufuku ya sigara maeneo ya umma mfupa mgumu Mbali na uvutaji huo wa sigara hadharani uchunguzi uliofanywa na Mwananchi umebaini kuwa katika maeneo mengi hakuna mabango ya kuzuia.