Kiini ndoa kuvunjika mapema hiki hapa Wadau wa masuala ya saikolojia, wanasheria, wanazuoni na wanajamii wamebainisha sababu kadhaa zinazochangia ndoa kuvunjika mapema baada ya kufungwa, hususan mijini.
Tanzania yaendeleza mikakati kufikia usawa wa kijinsia Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkazi wa UN Women, Dk Mitra Sadananda amesema ahadi ya Tanzania ya kuendeleza usawa wa kijinsia imewezesha wanawake kiuchumi
Wenza wa marais zaidi ya nchi 15 kujadili afya ya uzazi, mtoto Tanzania Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa Kimataifa wa 11 wa Merck Foundation Afrika Asia Luminary 2024 utakaowakutanisha wake wa marais wa Afrika kutoka nchi zaidi ya 15 wakiwa wageni...
Ewura yawaonya wanaouza petroli kwenye vidumu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imewataka wamiliki wote wa vituo vya mafuta kutoruhusu uuzwaji wa mafuta ya petroli kwenye vifaa visivyoruhusiwa kuchukulia au kuhifadhia...
Wanavyoizungumzia Siku ya Kimataifa ya Demokrasia Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Demokrasia ambapo baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wametoa jumbe zao kuhusiana na siku hii ikiwemo kuhimiza...
Sudan Kusini yaahirisha uchaguzi wake Desemba, sasa kufanyika 2026 Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuusogeza mbele uchaguzi wake mkuu uliopangwa kufanyika Desemba 2024, hadi Desemba 2026 huku sababu kuu ikitajwa kuwa ni kutofanyika kwa maandalizi.
Msako wenye mabucha wanaouza nyama ya punda Viongozi kaunti za Narok na Bomet nchini Kenya wamepanga kuanza operesheni za kukabiliana na wizi wa punda ulioshamiri, huku hofu ya nyama zinazouzwa katika mabucha kuwa ni ya punda ikizidi kutanda.
Maelekezo matano ya Waziri Mkuu kuimarisha uwekezaji Tanzania Katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini Tanzania, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameelekeza taasisi pamoja na mamlaka za serikali za mitaa ziharakishe marekebisho ya taratibu na sheria...
Wasiorejesha mikopo elimu ya juu kubanwa kila kona Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imeunganisha mifumo ya himkakati kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurejesha mikopo ya elimu.
Marangach aliyedaiwa kumchoma moto Cheptegei kwa petroli naye afariki dunia Aliyekuwa mpenzi wa mwanariadha wa Olimpiki wa Uganda Rebecca Cheptegei, Dickson Marangach amefariki dunia jana jumatatu.