Kinana alivyojibu hoja nne za Chadema, Lissu afafanua Kinana amesema hayo kujibu hoja za Chadema kwenye maandamano na mikutano ya hadhara mikoani, wakitaka Katiba mpya, sheria za uchaguzi, wakieleza maeneo ya nchi kuuzwa kwa sababu Rais ni...
PRIME Sababu kimbunga Hidaya kukosa nguvu ghafla Miongoni mwa sababu za kimbunga kupoteza nguvu ni kuwapo kwa sababu nyingine ni kuwapo upepo kinzani, hivyo kinapokuwa kinaelekea sehemu fulani, lakini pakawepo na upepo kinzani kinapungua nguvu.
Kinana: Katiba mpya, tume huru ya uchaguzi si sababu pekee ya kushinda uchaguzi Akijenga hoja hiyo, Kinana ametoa mfano wa nchi jirani bila kuitaja, kwamba wamepigania Katiba na Tume huru ya uchaguzi kwa muda mrefu na wameipata, lakini kuna watu wamegombea (chini ya katiba...
PRIME Lissu afunguka wanaohoji kauli yake kuhusu rushwa Chadema Jana Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika alisema atatoa kauli juu ya kilichosemwa na Lissu baada ya vikao vya chama hicho.
Pacha wa miezi mitano wafariki kwa kuungua moto Morogoro Marugujo ameiambia Mwananchi Digital leo Mei 5,2024 kuwa taarifa za wito walizipokea majira ya saa 3 usiku lakini kutokana na ubovu wa miundombinu hususan ya barabara walichelewa na walipofika...
PRIME Utata askari Polisi akidaiwa kumjeruhi mtuhumiwa kwa risasi Taarifa ambazo Mwananchi linazo ni kuwa tayari suala hilo limeshaanza kuchunguzwa na maofisa wa Polisi makao makuu, waliofika Mirerani wakiwa na maofisa wa Mkoa wa Manyara.
PRIME Mtaalamu aeleza sababu nyani kuvamia makazi ya watu Rombo, Moshi Kutokana na wingi wa wanayama hao wasumbufu waliopo katika maeneo hayo kama kima, tumbuli, ngedere wananchi nao wameanza kuwala.
Wasichana wapewa mbinu kumudu masomo ya sayansi Kikubwa kinachoangaliwa ni kubuni na kutengeneza mifumo inayotatua changamoto za jamii
Miaka 20 ya Poland ndani ya Umoja wa Ulaya Leo, Mei Mosi, Poland inaadhimisha miaka 20 tangu ilipojiunga na Umoja wa Ulaya (EU) mwaka 2004. Kipindi hicho, ilipokea kundi kubwa la nchi 10 za Ulaya Mashariki na Kati, ikiwemo Poland ambazo...
Uzalishaji korosho wapaa, sababu zatajwa Louis Kolumbia, Mwananchi [email protected] Dar es Salaam. Uzalishaji wa korosho umepanda kwa tani 115,900, kutoka 189,114 zilizozalishwa msimu wa 2022/23 hadi tani 305,014 katika...
Guede gari limewaka, atupia la tano Shangwe la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa Yanga msimu huu linaendelea kukaribia baada ya ushindi ilioupata wa bao 1-0, dhidi ya Mashajaa katika mchezo mkali na wa kusisimua uliopigwa kwenye Uwanja...
MOI yathibitisha kifo cha 'Director' Khalfani Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) imethibitisha kifo cha muongozaji wa video za muziki nchini Tanzania, maarufu ‘Director Khalfani Khalmandro’.
Uhuru wa habari ni wajibu wa kila mdau Leo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambayo huadhimishwa Mei 3, kila mwaka. Katika siku hii, wadau wanapata nafasi ya kutafakari umuhimu wa tasnia ya habari katika kuchochea uhuru...
Mpenzi wako ana hasira? Fanya haya… Katika mahusiano ya aina yoyote, hakuna anayeweza kusema hajawahi kukasirika. Mara kwa mara tunakwazana na kukasirishana, ingawa wako wale ambao hasira yao iko karibu zaidi na huja kwa ukali...