Hatima ubunge wa Longido wiki hii

Muktasari:

Wiki iliyopita viongozi mbalimbali wa kisiasa akiwamo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema walitinga mahakamani hapo kusikiliza rufaa hiyo huku makada wa CCM kutoka sehemu mbalimbali mkoani Arusha wakifurika.

Arusha. Hatima ya ubunge katika Jimbo la Longido mkoani Arusha, inatarajiwa kujulikana wiki hii baada ya jopo la majaji wanaosikiliza rufaa iliyowasilishwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Onesmo Ole Nangole kutolewa uamuzi. Nangole alikata rufaa kupinga hukumu ya Mahakama Kuu kumvua ubunge. Uamuzi huo unasubiriwa kwa hamu na wakazi wa Arusha hususan makada wa vyama vya CCM na Chadema, ambao wamekuwa wakifurika kwa wingi Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kusikiliza rufaa hiyo.

Jopo la majaji hao linaongozwa na Sauda Mjasiri, Profesa Ibrahim Juma na Mussa Kipenka leo wataendelea kusikiliza rufani hiyo.

Katika kesi hiyo, mawakili wa Nangole ni John Materu na Method Kimomogoro, huku mawakili wa mjibu rufaa wakiwa ni Daud Haraka, Edmund Mgemela na Dk Masumbuko Lamwai.