Kalaba aruhusiwa kutoka hospitalini NAHODHA wa zamani wa Zambia, Rainford Kalaba ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari mwanzoni mwa mwezi huu. Kiungo huyo wa zamani wa TP Mazembe, alikuwa...