Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Barua aliyoandika Nyalandu kwa Spika inasema haya

Muktasari:

Katika barua hiyo Nyalandu amewashukuru maspika wote aliofanya nao kazi na kueleza kwa nini amejiuzulu

Dar es Salaam. Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu ameweka hadharani barua ya kujiuzulu ubunge aliyoiandika kwenda kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai tangu Oktoba 30.

Katika barua hiyo ambayo Mwananchi amepata nakala yake imeeleza hayo hapo juu.