1. PRIME Sababu, athari kupotea kwa uandishi wa barua

    Mwaka jana, rafiki yangu Hanifa Kafashe alipata msiba wa mtoto wake aliyefariki kwa ajali ya gari.

  2. PRIME Chanzo mauaji ya wanandoa hiki hapa

    Taarifa za mauaji ya wanandoa zinazidi kuongezeka kiasi cha kukera na kutisha. Haupiti mwezi, na sasa wiki, bila kusikia taarifa za mume kumuua mkewe kwa sababu mbalimbali, kuu ikiwa wivu wa...

  3. Sikukuu za wanawake ni kubwa kuliko Krismasi na Eid?

    Kama bado hujagundua hili, basi pole yako. Sikukuu za wanawake ‘nau deizi zimetekova’, zinapewa uzito kuliko sikukuu kongwe kama Krismasi na Eid El Fitr. Achana na Mei Mosi, Sabasaba na kenge...

  4. PRIME Sababu zinazochochea wanaume kufariki mapema

    Kwa ujumla wanaume wanafariki mapema kutokana na kuwa na idadi kubwa ya vihatarishi, ikiwamo uasili wa kibailojia na kufanya kazi ngumu ambazo zinamweka katika hatari ya kifo.

  5. Ushauri unavyoweza kuchangia udumavu wa mtoto

    Katika kumjenga mtoto kiakili na kimwili, wazazi na walezi wamekuwa wakipokea ushauri wa malezi wanaopewa na kujikuta wakienda kinyume na wataalamu wa afya na malezi.

  6. PRIME Tahasusi mpya zinavyoibua wasiwasi, matumaini elimu ya Tanzania

    Wengi wamepokea kwa mikono miwili uamuzi wa Serikali kuanzisha tahasusi hizi, huku baadhi wakitilia shaka kasi ya maamuzi hayo ambapo bado Taasisi ya Elimu nchini (TET), haijaweka bayana mbinu na...

  7. Ukiwasahau utotoni ujue uzeeni hawatakukumbuka

    Nimekutana na Qambebeda Morogoro. Qambebeda ni rafiki yangu tangu utotoni. Hatujaonana naye tangu tumemaliza darasa la saba. Kwa hakika tunayo mengi ya kukumbusha na kuzungumza. Kubwa ni hekima...

  8. Kutongoza kila mwanamke kunavyopromosha vijana

    Anakuja mwanamke mnayefahamiana na kukwambia ana kazi fulani na anatafuta mtu wa kuifanya. Kwa bahati mbaya wewe huwezi kuifanya kazi hiyo kwa sababu zozote zile, labda muda unakubana, huna ujuzi...

  9. Umaarufu wa choo ni harufu

    Imani ni uhakika wa mambo yaliyokuwepo hata kama hutayathibitisha. Unaweza kusikia na kuamini jambo bila hata kuliona. Unalitafakari na kuhakikisha kuwa jambo hilo ni la kweli. Yupo anayeamini...

  10. PRIME Oluoch: Visasi, uchu wa madaraka vinaitesa CWT

    Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiah Oluoch amesema chama hicho kwa sasa kiko mahututi au imekufa kabisa kwa kushindwa kuwatetea walimu.

  11. PRIME Namna za kuijenga ndoa yako-2

    Wiki iliyopita katika makala haya tulianza kuangalia kanuni rahisi za kukusaidia kuijenga ndoa yako. Makala iliyopita ilizitaja kanuni tano, wiki hii tunamalizia kuziangalia kanuni nyingine tano.

  12. Namna ya kudhibiti uzito kwa wenye kisukari

    Afya njema ya lishe ni muhimu sana katika kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo kisukari na shinikizo la damu.

  13. Vyungu vinasogea na swaumu inaachia

    Mambo si mabaya maana naona vyungu vinasogea na swaumu inaachia mdogomdogo. Mwaka huu tena kama miaka mingi tu iliyotangulia, mifungo miwili mikuu Ramadhani na Kwaresima imeumana. Usishangae...

  14. Kula vyakula hivi wakati wa mfungo kudhibiti unene

    Kufunga saumu ni moja ya nguzo tano za Uislamu. Muislamu yeyote mwenye afya njema, akili timamu anatakiwa kushiriki katika saumu kwa kujizuia kula chakula chochote katika kinywa chake, kwa muda...

  15. Hatari ya shisha kwa vijana katika kifua kikuu

    Ni kawaida siku hizi katika kumbi za starehe mijini kukuta mitungi ya shisha juu ya meza, huku watumiaji wakichangia kilevi hicho. Je, unajua kuna uwezekano mkubwa mtumiaji kupata maambukizi ya...

  16. Ndoa yako ina changamoto? Fanya haya kuijenga

    Kabla sijaenda mbali na kukuruhusu wewe msomaji kuzama ndani ya makala hii nadhani ni vema niliweke hili wazi kwamba njia hizi ninazozizungumzia sio ndiyo misingi ya ndoa. Misingi ya ndoa ni...

  17. Wazazi wakigombana, mtoto anaathirika hivi...

    Machi 16, 2024 lilitokea tukio la kusikitisha wilayani Babati mkoani Manyara pale mtoto wa miaka minane kukatisha maisha yake kwa madai ya kuchoshwa na migogoro baina ya wazazi wake.

  18. RTD ina mchango mkubwa katika kulinda na kuendeleza utamaduni wa TZ

    Mwaka 1951 afisa mmoja wa BBC alipendekeza kuanzishwa kwa kituo cha redio katika koloni la Uingereza la Tanganyika. Ili kupata ujuzi wa kutengeneza vipindi kwa ajili ya wenyeji wa nchi hii...

  19. Madogo wa IT jiongezeni muokote maokoto

    Kila jambo lina wakati wake. Suleiman alisema kuna wakati wa kuokota mawe na wakati wa kutupa mawe.

  20. Oya! watu wangu wa Sinza futari 'hainaga' swaga 

    Nimetumia wiki yote iliyopita kufuturu mitaa ya Sinza. Kule nina familia, washikaji na kumbukizi nyingi za nyakati za balehe. Sinza imebadilika, na watu wake wamebadilika. Siyo Sinza ile tena.