Spika Ndugai azuia hotuba ya upinzani kusomwa bungeni

Wednesday April 1 2020

Spika wa Bunge Job Ndugai ,akionyesha Hotuba ya

Spika wa Bunge Job Ndugai ,akionyesha Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinza bungeni iliyotakiwa isomwe leo bungeni. Picha na Anthony Siame 

By Sharon Sauwa, Mwananchi

Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amekataa kusomwa kwa maoni ya kambi rasmi ya upinzani kuhusu hotuba ya bajeti ya ofisi ya waziri mkuu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kwa sababu imekiuka kanuni za Bunge.
Amesema awali alikuwa akiwaonya kambi hiyo kwa kuwataka kuondoa baadhi ya maeneo katika hotuba zao yanayokwenda kinyume na kanuni lakini kuanzia sasa atakuwa hafanyi hivyo na badala yake kuondoa hotuba nzima yenye maeneo yanayokiuka kanuni.


Endelea kufuatilia Mwananchi

Advertisement