VIDEO: NEC yaongeza siku mbili za kuapisha mawakala

Muktasari:

Amesema ni lazima vyama vipeleke orodha ya mawakala na kuwapanga katika vituo pamoja na anuani zao na namba za simu.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kuzingatia mamlaka iliyopewa leo Jumatano Oktoba 21,  2020 imeongeza muda wa kuapisha mawakala wa vyama siasa hadi Oktoba 23,  amesema  Dk Wilson Mahera.