Fuatilia matokeo uchaguzi mkuu Kenya hapa
Muktasari:
- Wananchi wa Kenya leo wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais wa Taifa hilo huku mchuano mkali ukiwa kati ya Raila Odinga na William Ruto huku wakifuatiwa kwa mbali na wagombea wengine.
Wananchi wa Kenya leo Agusti 9, 2022 wamejitokeza kupiga kura kumchagua rais wa Taifa hilo huku mchuano mkali ukiwa kati ya Raila Odinga na William Ruto huku wakifuatiwa kwa mbali na wagombea wengine.