Jaji Siyani ajitoa kesi ya Mbowe, wenzake

Uamuzi kesi ya kina Mbowe, wenzake waanza kusomwa

Muktasari:

Jaji Kiongozi Mustapha Siyani amejiondoka kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mwenzake watatu.

Jaji Kiongozi Mustapha Siyani amejiondoa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mwenzake watatu.

SOMA: Mahakama yatupa mapingamizi kesi ya Mbowe, wenzake
Sababu ya kujitoa kusikiliza kesi hiyo mesema ni kutokana na majukumu aliyoyanayo ambayo ameona yanaweza kumfanya ashindwe kuendesha kesi kwa haraka.

SOMA:Jaji kesi ya Mbowe ateuliwa kuwa Jaji Kiongozi
Uamuzi wa kujiondoa kusikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 16/2021, ameutoa leo Jumatano Oktoba 21, 2021