Lukuvi: Askofu Gwajima alinieleza kero za wananchi wa Kawe kabla hajawa mbunge

Lukuvi: Askofu Gwajima alinieleza kero za wananchi wa Kawe kabla hajawa mbunge

Muktasari:

  • “Mimi Askofu Gwajima (Josephat) nilikuwa simjui lakini amenitafuta kwa sababu ya kero ya wananchi wa Kawe hata kabla hajawa mbunge, ilinilazimu kutoka kwenye kampeni zangu Isimani kwenda kumsikiliza Dar es Salaam.”

“Mimi Askofu Gwajima (Josephat) nilikuwa simjui lakini amenitafuta kwa sababu ya kero ya wananchi wa Kawe hata kabla hajawa mbunge, ilinilazimu kutoka kwenye kampeni zangu Isimani kwenda kumsikiliza Dar es Salaam.”
“Nataka kukuhakikishia Gwajima tukimaliza Bunge hili, mimi najua angeuliza Halima (Mdee-aliyekuwa mbunge wa Kawe-Chadema) ningemjibu nyinyi siwajibu nimepanga ratiba ya kwenda kukamilisha kero za migogoro ya Dar es Salaam,” amesema Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, William Lukuvi.

Lukuvi: Askofu Gwajima alinieleza kero za wananchi wa Kawe kabla hajawa mbunge